Now be gratefulYes sometimes nahisi labda nimeumbwa kuwa tajiri ndo Mana.
Uwezo upo lakini sio kwa kiwango kikubwa cha kutoa pesa nyingi kiasi hichoKama unakauwezo kadogo cha kusaidia ndugu na jamaa zako na roho hiyo unayo basi saidia tu ila kwa kiwango ambacho unaona hakita Kuathiri shughuli zako za kila siku..
Ndio maisha hayo ila Wema usizidi uwezo.
Mungu anakuona mpaka rohoni mwako.Ukweli kwamba nishaombwa hela na watu wengi na siwezi kutoa tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia ambao unaona unaweza kuwasaidia kwa sasa wengine unawaambia wakucheck kipindi kingine..Uwezo upo lakini sio kwa kiwango kikubs cha kutoa pesa nyingi kiasi hicho
Mkumbushe asipereke kwa gwajimaboy na mzee wa Upako ,najua utanipinga lakini kwa hao ...hapana moja hachelewi kugongea mademu wazuri lakini hawajui kujishughulisha na mwingine achelewi kumwita mpumbavu /ufala kwa kuwa Ni maskini.Ukitaka kurinda fedha zako kiroho uwe unakumbuka kurudisha 10% kwa mungu wako kwa mapato unayoingiza.. Hizo shida hazitakupata kamwe.
Kwenye mazingira yetu ya kiafrika mtu anafuatwa sana kukopwa fedha iwapo ana sifa zifuatazo:Nikiri kwanza sipo Vizuri sana kwenye roho ya kikauzu.
Ndugu:Nikope laki tatu nimalizie Kodi.
Ndugu:Nimekwama mwanangu(sio mama mzazi) Sina kitu nichangie chochote.
Rafiki:Naomba elfu kumi nisogeze siku pesa yangu bado haijatoka.
Ndugu:Nina mpango wa kufungua biashara nitakucheki basi uniongezee mtaji usiache pokea simu yangu.
Rafiki:Nikope elfu 20000
Ndugu:Nikope laki 200,000 nitakupa.
Rafiki:Nikope elfu 20,000 nimekwama.
Rafiki:Nimekwama Kaka nicheki la ten.
Mpenzi:Simu yangu mbovu na mpango wa kununua nyingine pesa ya haijakamilika.
Ndani ya tarehe 4/6/2019 Hadi leo hii 9/6/2019.Nimepokea request hizo hapo juu za pesa,kiukweli napitia kipindi kizito sana cha kujifunza kusema Hapana maana sikuzaliwa na roho ya kusema Hapana watu wangu wa karibu wanapokuwa na shidA ila hii inaniwia vigumu Sana.
Hivi kwenye ulimwengu wa kiroho hii ina maana gani?Kuna mtu anakutana na situation kama hii kwenye maisha yake?
Mnaweza kupambana na hali hii??Nimekataa request nyingine sana hapo juu nyingine Ni za watu karibu Sana.
Mwezi uliopita nimekopa watu jumla ya laki 2 tena kwa kubalance mambo kweli kweli.
Note:Sina maisha magumu ila sio tajiri kiasi cha kuwa na uwezo wa kusaidia watu kiwango hicho hapo.
Dah kwenye kutoa kweli mi bwege nakubali [emoji23][emoji23]Simba haramu kwasababu angekuwa halali kimbembe chake si kidogo mpaka achinjwe.
Mbuzi,ng'ombe halali kwasababu wanapiga kelele tu wakati wa kuchinjwa.
Hapa namaanisha mwenye roho ya kikauzu hatumiwi sms kama hizi mwenye roho nyepesi(bwege) ndio sms hizi hutumiwa.
Nangatukaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ukweli aisee,sasa ndo nimefikia point inabidi nijifunze kuwa mbinafsi ila sasa nateseka sana maana Ni kitu kipya kwangu.Kwenye mazingira yetu ya kiafrika mtu anafuatwa sana kukopwa fedha iwapo ana sifa zifuatazo:
1: Ana uwezo (au watu wanadhani ana uwezo)
2: Ni mrahisi kuingilika
3. Ana tabia ya kusaidia anapoombwa.
Hivi ni vigezo ambavyo watu wengi huwa wanavitumia kwenye kukopa. Ndiyo maana unaweza kukuta mtu fulani anafutwa fuatwa sana wakati wa shida na mwingine watu hawamfuati hata kama wanajua wana uwezo.
Sawa,Ila jifunze kwenda kutoa sadaka yako kwa wahitaji zaidi ili uwaguse mioyo yao MF. Kwenye wodi za wagonjwa na sio makanisani tu,..... Unapotoa direct kwa mlengwa kuna energy from universe (God) utapata inakusaidia kufanikiwa zaidi na kulinda fedha zako.Siendi kanisani lakini natoa sadaka kila mwisho wa mwezi.Najua nguvu ya kutoa sadaka kwenye ulimwengu wa kiroho Ina maana gani.
Matajiri wenye wanatoa sadaka iwe kwa waganga au kwa maskini,why not me.
Yah Ni kweli ingawa njiani napo nafatwa na watu wengi tu wakiwa na shida mara nauli Mara sijala Ni kama watu wananusa hivi.Sawa,Ila jifunze kwenda kutoa sadaka yako kwa wahitaji zaidi ili uwaguse mioyo yao MF. Kwenye wodi za wagonjwa na sio makanisani tu,..... Unapotoa direct kwa mlengwa kuna energy from universe (God) utapata inakusaidia kufanikiwa zaidi na kulinda fedha zako.
Mimi mwenyewe Nina hari Kama hiyo,Nikiri kwanza sipo Vizuri sana kwenye roho ya kikauzu.
Ndugu:Nikope laki tatu nimalizie Kodi.
Ndugu:Nimekwama mwanangu(sio mama mzazi) Sina kitu nichangie chochote.
Rafiki:Naomba elfu kumi nisogeze siku pesa yangu bado haijatoka.
Ndugu:Nina mpango wa kufungua biashara nitakucheki basi uniongezee mtaji usiache pokea simu yangu.
Rafiki:Nikope elfu 20000
Ndugu:Nikope laki 200,000 nitakupa.
Rafiki:Nikope elfu 20,000 nimekwama.
Rafiki:Nimekwama Kaka nicheki la ten.
Mpenzi:Simu yangu mbovu na mpango wa kununua nyingine pesa ya haijakamilika.
Ndani ya tarehe 4/6/2019 Hadi leo hii 9/6/2019.Nimepokea request hizo hapo juu za pesa,kiukweli napitia kipindi kizito sana cha kujifunza kusema Hapana maana sikuzaliwa na roho ya kusema Hapana watu wangu wa karibu wanapokuwa na shidA ila hii inaniwia vigumu Sana.
Hivi kwenye ulimwengu wa kiroho hii ina maana gani?Kuna mtu anakutana na situation kama hii kwenye maisha yake?
Mnaweza kupambana na hali hii??Nimekataa request nyingine sana hapo juu nyingine Ni za watu karibu Sana.
Mwezi uliopita nimekopa watu jumla ya laki 2 tena kwa kubalance mambo kweli kweli.
Note:Sina maisha magumu ila sio tajiri kiasi cha kuwa na uwezo wa kusaidia watu kiwango hicho hapo.
Ndugu yangu hapa nawakatalia ila moyoni nakosa amani, najiona kama Ni jukumu langu kuwapa kiukweli inahitaji roho ngumu sana.Mimi mwenyewe Nina hari Kama hiyo,
Huwa nahisi watu huniona ni rahisi sana kuwapa msaada wa kifedha wakiniomba.
Sehemu yoyote nitakayoenda,watu hunifata Mimi niwasaidie,huwa najiuliza mbona tupo wengi tu hapa,mbona wengine hawafuatwi kuombwa msaada!??
Hili lazima litakuwa swala la kiroho,ukiwa na tabia mbaya au nzuri,ndani ya moyo wako,vitu hivi hutoa VIBES kwa nje ambazo Roho za wengine hudaka na kuelewa,kutokana na wema wetu ndani ya mioyo yetu,hiki kitu hutoa ishara kwa roho za wengine zilizotuzunguka.
Mungu akisema nyuma geuka jamaa hataamini aliokuwa akiwasaidia watakavyokuwa wakimkwepaYes sometimes nahisi labda nimeumbwa kuwa tajiri ndo Mana.