The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 346
- 498
Nimekunywa mkuuChai umekunywa mkuu??
Tuchukue uzoefu kutoka kwa wazoefu mkuuHuu mtihani kila siku napata F
Hii mbinu natumiaga sana. Anakua hana choice tenaMsalimie vizur salam nying kwa kujipendekeza then chukua cm yako bonyeza 07........... Mpatie cm amalizie namba kimya kimya hapo ushamaliza mchezo
Umemaliza mkuuWeekend imeanza tayar na mada za ki weekend, jf raha sana.
Nijikite kwenye mada mi kwa upande wangu huwa situmii code kuomba namba sema huwa naanzisha stori kuonesha nahitaji kumeet naye once again so ili tuweze kuweka appointment lazima tuexchange namba.
Akizingua kunipa napotezea akinipa harakati zinaanzia hapo. Ni hayo tu mkuu.
Missa tupe mbinu mama[emoji87] [emoji87] [emoji87]