Kuomba msamaha unapokosea kwenye mapenzi

Binafsi nilikua mwepesi sana wa kumuomba msamaha mpenzi wangu hasa pale nilipokua na uhakika kwamba mimi ndie niliesababisha tafrani na wakati mwingine hataka kama kosa sio langu nilijishusha ili tu maisha yaendelee kama kawaida....kuna wakati nilikua siwezi pitisha wiki bila ya kumsemesha mwenzi wangu pindi tunapikua tumekosana.....nadhani mwenzangu alikariri vibaya na aakachukulia kama mimi dhaifu sana...baada ya kuona hivyo nikasema sasa ngoja nimuoneshe huyu mwanamke kwamba mimi ni mwanaume kamili na nina misimamo yangu....ilifika wakati nikawa naweza kukaa hata mwezi mzima bila kumcheki na maisha yakawa yanaenda kama kawaida....yeye ndio akawa anahangaika kunitafuta baada ya kuona kimya kingi kila tunapokosana

Nihitimishe tu kwa kusema kwamba, tunapokua kwenye mahusiano tuache mambo ya kutingishiana kiberiti mana hujui ni siku gani mwenzi wako atakua amechoka kabisa vituko vyako hata kama anakupenda kiasi gani.
Ukoloni ukiuweke kwa mwanamke mtadumu sana Mura.

121.
 
Sikubaliani na demokrasia kwenye ndoa.. Mwanamke atakuchukulia kama dhaifu
Umeona eeeh uwe na mamuzi ww uoni ma dingi zetu zamani walivyodumu kwenye ndoma na ma bimkubwa zetu kwa sababu walikuwa wakoloni muda mwingine dingi anakuwa kama jinamizi dingi ana misimamo balaa na wanawake wana tii dingi kazaa nje tena watoto 6 bi mkubwa anajua na anakaa kimya tuu aleti ngebe kwny ndoa yake cha zaidi bi mkubwa anamsisitiza dingi watunze wale watoto mana ni wanao pia ila vijana wa leo kazaa njee tena katoto kamoja anaogopa mwambia mkewe au mkewe kajua mwanamke kwny nyumba anawake yeye ndo yy anafikia hatu ya mpaka kuama chumba au kumnyima unyumba mumewe vijana wa sikuizi tuna feri sana yani nikuoe mm nitoe mahari mm nikuhudumie mm tena nikikosea nikuombe msamaha cjui tupelekeshane kwa mtendaji huu c ujinga huu mwanamke ana leta ngebe piga mpaka anyoke akisema nimechoka naenda kwetu muache aende..

Dingi dingi... Unaua band...
 
Back
Top Bottom