kama unatamani kuendelea kua independent mkope, ni kawaida kutumia za mpenzi maramoja moja inapobidi bt isiwe mazoea hadi umgeuze mzazi unles uwe wale wanohitaji wa kuwahonga
mashosti wazima..
nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.
sasa nimepatwa na uhitaji sana wa pesa ila nashindws nianzie wapi kumwambia.. though amekua akisema nikiwa na shida nimwambie..
naogopa na sioni pa kuanzia.. msaada wenu plz..
i appreciate yo effort..
Lord have Mercy!!!!!!!!!!!!! Atiiiiiiiiiiiii! Hujawahi omba chapaaaa! Mhhhhhh! Sasa unaishije mwenzetu! I have been using Bfs money since i was 11!!!!!!!!I dont remember being independent, i dont see myself independent in any near foreseen future!!
About how you should ask for the money thats ma area of expertise! Lets see how many options you got!
1.If you cant face him and beg, the best shot is text him! Its easier and safer coz he will think throughly before repliying calming his balls down before parting with his sweaty earned cash!
2.Start complaining cash shortage and declare bankruptcy! Subiria ajichinje mwenyewe! Ila hii makauzu wanachuna kimyaaa!
3.Ask him directly, japo hii mbinu hasara yake unaulizwa nikupe bei gani, ukijilipua na nipe iliyopo umekwishaaaa!
Mi nakushauri nenda kamuombe kwasababu ni bf wako n then hata kama wewe usipo muomba ujue kunawanao omba na wanapewa sasa wewe! Subiria coz hutaki kuhongwa! Wenzako wana zila kiulaini! Baadhi ya sisi wanaume ndo tulivyo! Kwahio wemfate muombemuombe😛😛😛mashosti wazima..

nina bf tunapendana sana.. mi ninafanya kazi yenye mshshara wa kawaida ila yy ana kupato kikubwa. but i have always been independent na sijawahi omba pesa.

sasa nimepatwa na uhitaji sana wa pesa ila nashindws nianzie wapi kumwambia.. though amekua akisema nikiwa na shida nimwambie..

naogopa na sioni pa kuanzia.. msaada wenu plz..

i appreciate yo effort..
Haya mashosti msaidieni shosti mwenzenu anayependana sana na bf wake...
vip watu8 wewe hua unangoja kuombwa au unagawa tu kwa makadirio ya chini na ya juu, muupe nyie experience mnapoombwa mnaichukuliaje,asije akaachika bure maana wanaume wengine ndio unamtafutia ticketi wale wasiopenda gharama
mmmmh sio rahisi kiivo bora kufa masikini kwa kweliLord have Mercy!!!!!!!!!!!!! Atiiiiiiiiiiiii! Hujawahi omba chapaaaa! Mhhhhhh! Sasa unaishije mwenzetu! I have been using Bfs money since i was 11!!!!!!!!I dont remember being independent, i dont see myself independent in any near foreseen future!!
About how you should ask for the money thats ma area of expertise! Lets see how many options you got!
1.If you cant face him and beg, the best shot is text him! Its easier and safer coz he will think throughly before repliying calming his balls down before parting with his sweaty earned cash!
2.Start complaining cash shortage and declare bankruptcy! Subiria ajichinje mwenyewe! Ila hii makauzu wanachuna kimyaaa!
3.Ask him directly, japo hii mbinu hasara yake unaulizwa nikupe bei gani, ukijilipua na nipe iliyopo umekwishaaaa!
mmmmh sio rahisi kiivo bora kufa masikini kwa kweli
si umwambie tu
hiyo nilikuomba wewe kwani wewe ni mpenzi wangu?Blackberry