Vilevile utahitaji kuscan pictures na documents hivyo lazima stationery ihusike , kwa uzoefu wangu kipindi hiki cha kuaplay wenye stationery wanawatoza watu gharama kubwa tofauti na uhalisia na ukifanya mwenyewe bila uzoefu kuna hatari kubwa ya kukosea kwani hata picha unazoziattach HELSB wana size maalumu na format hivyo zinatakiwa mtu kabla ya kuattach aziconvert ili kukidhi vigezo.