Ukiwa na app ya Benki mf. NMB ya mwezi mzima ni 500 kama sikosei, ya internet ni bure ila ukienda kwenye tawi ndio inaongezeka kidogo ila si ghali ni kama 2000 hivi kwa miezi mingi mingi
bank statement ni bure kama unataka kuangalia miamala yako ambapo pia unaweza kuprint mwenyewe kwa kutumia internet banking lakini kama unataka bank statement kwa ajili ya kupeleka sehemu inabidi igongwe muhuri na hapo ndipo utalipia mara nyingi ni elfu ishirini