Leta details zako tuoneWadau Habari za Leo. Mwenzenu nimekwama kwenye kuomba kazi ya ualimu kwa mfumo wa TAMISEMI.
Nilifungua account na kila nikilog in inagoma kabisa inaniandikia wrong credentials. Nikijaribu kwenda ku reset password, naambiwa Failed to deliver to..... (email).
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia jambo hili nitashuruku Sana.
Ahsante sana
Kama imekuandikia CONGREGATION bado Mkuu.....Rudia upyaSamahan mm nimejaza mpaka mwisho imeniandikia APPLICATION COMPLETED, CONGREGATION. ndo nimesabumit au bado wakuu!?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
😂😂😂🤣Kama imekuandikia CONGREGATION bado Mkuu.....Rudia upya
Congregation duh!!!Samahan mm nimejaza mpaka mwisho imeniandikia APPLICATION COMPLETED, CONGREGATION. ndo nimesabumit au bado wakuu!?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Congregation!!! Hapo umeambiwa uende kwenye mkutano wa JPM kwanza akuone ndo atakufikiria itategemea na ameamkaje.Samahan mm nimejaza mpaka mwisho imeniandikia APPLICATION COMPLETED, CONGREGATION. ndo nimesabumit au bado wakuu!?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayoKama imekuandikia CONGREGATION bado Mkuu.....Rudia upya
Mungu atusaidie sana.Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo
Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana
Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,
Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
...Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo
Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana
Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,
Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
Mkuu ungenipinga kwa hoja na sio kunituhumu, ugumu wako wa maisha.unataka uuhamishie kwangu,?...Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?
....lengo lako lilikuwa ni kudhalilisha watu wenye degree kwamba hawajui kitu ndo maana katika hoja yako umetaja maneno "degree za sua na udom" ukimaanisha watu walosoma hivyo vyuo hawajui kitu Kisa ulimpa mmoja kukopi barua. Sasa kama kuwa na degree ni kujua kila kitu mbona meko anazo tatu lakini hajui kiingereza?...Mkuu ungenipinga kwa hoja na sio kunituhumu, ugumu wako wa maisha.unataka uuhamishie kwangu,?
Ngoja nikueleze kuwa mwalimu wa kingereza kuna topiki kama moja kwa kidato cha pili inayohusu uandishi wa barua ,kidato tatu na cha nne vile vile,sasa kwa mwalimu wa kingereza asiyejua kuandika barua atamfundisha nini mtoto wa kidato cha pili
Ndo maaana katika hoja yangu nimetaja mwalimu wa history na kingereza, angekuwa wa hesabu na fizikia nisingeshangaa
Mwisho wa siku punguza jazba kwa hoja za mitandaoni maana utakufa mapema kabla ya umri wako halali.
Hili ni janga la kitaifa.....na hawataki kukosolewa katu!Hawa wasomi wetu wanaodai eti wana degree za sua na udsm wakati mwingine unaweza lia kwa wayafanyayo
Juzi kuna mwalimu kaja kijiweni kwangu kasoma history na English basi nikawa nascan vyeti vyake ,mwisho nikamwambia andika barua ili niiscan si akashindwa,nikampa barua za wenzake waliofanya maombi ili aangalizie hapo ndo ikawa pona pona yake,kwa kweli niliumia na kukasirika sana
Nilibaki na maswali mengi inakuwaje mtu anajiita eti degree holder from UDom ashindwe jambo dogo kama hili,
Mungu aingilie kati hawa wasomi wetu.
Yesi kuna mmoja hapo juu kaniwakia balaa,lakini ni udhaifu mkuubwa sana kwa mtu anayejiita degree holder kushindwa jambo dogo kama hiloHili ni janga la kitaifa.....na hawataki kukosolewa katu!
Vipo vitu ambovyo ni very common, amefundishwa kila aliyepitia shule....Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama imekuandikia CONGREGATION bado Mkuu.....Rudia upya
...Punguza ujuha..Kwani mtu kuwa na degree ndo kujua kila kitu?
.....Kama unalijua hilo imekuaje ukahusianisha hoja ya uandishi wa barua na degree..? Afu usikariri maisha kudhani kila anaechangia huu uzi anasubiri ajira akiwa kwa shemeji yake kama ww..mwaka wa nne huu napokea mpunga kwenye ATM za nmb kila mwisho wa mwezi...Kuandika barua inahitaji kuwa na degree!? Bila shaka wewe ni mwalimu unayesubiria ajira, utakuwa unawalisha watoto wa watu matango pori!