Bora kutoa gundu aisee
Acha maneno weka vyeti
Kwani kutosoma kabisa au ukasoma ukafeli unafikiri nini bora!?Aliyejaribu akafeli anaujuzi zaidi kuliko ambae hajajaribu kabisa!...kuolewa ukaachika baada ya mda mfupi ukaonekana hujatulia.
au kutoolewa kabisaa ukaonekana bahati huna? Bora kipi et
Kuachika bora watu wanaweza kukuelewa kuwa ni changamoto zilizokufanya ndoa ikakushinda ila at least umejaribu.Hakuna kilicho bora
Kuachika ni aibu na ni sifa mbaya
Kutoolewa kabisa nalo ni tatizo
tehe tehe tehe mpaka huku unataka vyetiAcha maneno weka vyeti