- Thread starter
- #21
wewe unaonekana unajielewa ndio maana unasema vile
hongera kwa kulitambua hilo mungu akutangulie na kukujaza zaidi muendelee kuishi kwa amani ndoa yenu ili watu waige zaidi na siyo jamii tu pia na hata nyumbani ulikotokea watapata sifa nzuri
Amina tuombeane pya mpendwa