kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

Huyo mtto wa kwanza aliteleza tu ikabidi jamaa ajibebee kiujumla mana miaka 7 mtoto m1 tuu duuh
 
Hahahahahahahah nyie bwana cjui wengne mna matatzo gani et nikiachika nije niwaambie mnapenda niachike jaman??
mbarikiwe wote mlonipongeza nawapenda mungu akubarikin sana
 
Huyo mtto wa kwanza aliteleza tu ikabidi jamaa ajibebee kiujumla mana miaka 7 mtoto m1 tuu duuh

Nooo nliishi na mume miaka 3 ndiyo nikapata ujauzito na mtoto ana miaka 4 naw soma. uelewe
 
Hongera sn kwakuwa na furaha, Muombe sana Mungu yasigeuke!!wenzako wanalia kila cku!!
 
Wanasema mwanamke akipata mtoto, mapenzi yote yanahamia kwa mwana! mtoto mkubwa anasaulika si eti eeh mankaa?
 
ulikuwa unatuuliza "material wife" kututega au??
 
Back
Top Bottom