Kuolewa na mwanajeshi

Kuolewa na mwanajeshi

uniquelady

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
420
Reaction score
177
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
 
Kwani wote wanaoachwa/wameoa au kuolewa na wanajeshi ?jiongeze na mwenyewe angalia hata mtaani kwako au nenda jeshin kaangalie ndoa zao zikoje
 
Kweli wanawake hawaeleweki. Si huwa mnasema mnataka security?

For real tho, kama umeamua kupuuza, endelea kupuuza all the way. Ni watu wanaoifanya profession, sio profession kuwafanya watu. Ndio maana wapo hata viongozi wa dini wanaofanya maovu na uchafu kuliko watu wengine.
 
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
Jibu yafuatayo nikusaidie!
Una miaka mingapi?
Huna kichaa?
Una elimu gani?
Ulitegemea kuolewa na mwenye kazi gani?
Unafanyia kazi wapi?
Ubikira?
Watakusaidia kuolewa hao ndugu zako au marafiki zako?
Ukileta usenge we unategemea uchekewe tu?
Au unataka mwanaume muelewa, yaani ukirudi umelewa sawa, ukichelewa sawa, semina zisizoisha sawa?
 
Matusi hayaruhusiwi mi nahitaj ushauri we kama umeshindwa pa kupeleka matusi yako better usichangie usitake kujifanya perfect haya mambo yanahitaj uelewa MULTimandalin
 
Last edited by a moderator:
Matusi hayaruhusiwi mi nahitaj ushauri we kama umeshindwa pa kupeleka matusi yako better usichangie usitake kujifanya perfect haya mambo yanahitaj uelewa MULTimandalin

umetukanwa wapi?we jibu maswali jamaa aliyokuuliza,usijifanye mjuaji,humu tumo wajuaji zaidi yako!
 
Last edited by a moderator:
Huna kichaa ?ndo swali gani sasa I need positive suggestions only
 
Kuna wanajeshi wazuri na wabaya kwenye mahusiano dadangu Sawa na huku Uraiani, mchunguze jamaa yako anaweza kuwa kuwa na mapungufu lakini siyo Kwa sababu ya uanajeshi wake.
 
Hivi kweli kuna mtu atayekuja kuishi nawe kwebye hiyo ndoa yako??? Jambo hili linategemea mtima wako. Namtamani huyo mjeda natamani ingekuwa ni mimi kwenye nafasi yako. Halafu uache ujinga ushamba na uzezeta
 
Kwni mwanajesh hna moyo au tofaut yke ni nn? Tabia ya mtu haitokan na profsnal yke,,, unaeza olewa na dokta na bdo ukishia kulia... Weee mwachie mjeda abebe mzgo
 
eti soon atakuwa mchumba wangu, kuwa makini wenzako washaambiwa hivyo mara kibao, halafu sio unatangaza hovyo sio kila mtu anakutakia mema, kuna watu kibao humu wamejikatia tamaa,
 
Kuna wanajeshi kibao wanakula makofi kitaa toka kwa wake zao
Isije ikawa na wewe ni mmoja Wa watembeza makofi
 
Vipi tena naona maswali yamekuingia Mishuzi Mbwambwa,Ushauri wewe tulia upakwe dawa na ujinga wako huo..

Jibu yafuatayo nikusaidie!
Una miaka mingapi?
Huna kichaa?
Una elimu gani?
Ulitegemea kuolewa na mwenye kazi gani?
Unafanyia kazi wapi?
Ubikira?
Watakusaidia kuolewa hao ndugu zako au marafiki zako?
Ukileta usenge we unategemea uchekewe tu?
Au unataka mwanaume muelewa, yaani ukirudi umelewa sawa, ukichelewa sawa, semina zisizoisha sawa?

Matusi hayaruhusiwi mi nahitaj ushauri we kama umeshindwa pa kupeleka matusi yako better usichangie usitake kujifanya perfect haya mambo yanahitaj uelewa MULTimandalin
 
Kwani wewe unataka kuolewa na jeshi au na mwanajeshi..?
Labda tuanzie hapo.
 
Jibu yafuatayo nikusaidie!
Una miaka mingapi?
Huna kichaa?
Una elimu gani?
Ulitegemea kuolewa na mwenye kazi gani?
Unafanyia kazi wapi?
Ubikira?
Watakusaidia kuolewa hao ndugu zako au marafiki zako?
Ukileta usenge we unategemea uchekewe tu?
Au unataka mwanaume muelewa, yaani ukirudi umelewa sawa, ukichelewa sawa, semina zisizoisha sawa?

Hivi uko kikosi gani mkuu?
 
Kuwa mjeshi sio shida unaweza kuoa ambaye unazani Ni sahihi kumbe ukapotea zaid achana ujeshi kwan si tunaon ambao sio wajeshi tabia zao zilivyo jaribu kufikilia wanajeshi wapo safi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom