Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Nini mate dada ushawahi kuwaona wale wa pale Ilala walivyowachafu? sipati picha mtu akiwa anasukwa kisogoni mana yabidi uwageukie kichwa unaweka katikati ya mapaja yao ... mh! Ama kweli urembo kazi!!
Hehe dada nimekumbuka haya uninambia nikukumbushe maana unaniicourage kuwa sometimes kuwa 'mkorofi' inalipa.....
hao wa mate na mie niliwaonea pale bungoni, anakusokota kidogo anatemea mikono mate anakusokotea kwenye paja, khaa nilichoka.