watanzania wengi hupatikana nje ya ndoa,au tuseme wanawake wengi hapaTanzania hujipatia watoto wakiwa hawajaolewa?
Hasa wanawake wa Kizanzibari
Wazanzibari waishio Kumlima (Tanganyika)
Bazazi
Kuoana nia aina fulani ya kistaarab ya kutengeneza territories...
Ni mithili ya kutengeneza ufalme fulani ambao utaendelea kudumishwa katika mtindo wa koo...
Kama wanadamu wasingelikuwa wanoana, nina wasiwasi kusingelikuwa na ustaarabu...mtu mmoja angeliinuka na kwenda kupigana na mtu mwingine...
Huenda mwanamke mmoja angelikuwa na watoto wasio na idadi na kila mmoja na baba yake vivyo hivyo kwa wanaume...
In short kungelikuwa na chaos kama ile ambayo tumepata kusimuliwa huko Sodoma na Gomora...