Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,868
- 183,164
We mtoto umeanza lini kukonyeza dada zako?[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1018368
We mtoto umeanza lini kukonyeza dada zako?[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1018368
We mtoto umeanza lini kukonyeza dada zako?
Basi kubali wewe ndio lisa😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na wewe tena!! Hatugombani duniani hata mbinguni[emoji6][emoji6]
Khaaah!! Imeoza lini meno hivyo? Nilikuwa na mapengo mimi[emoji23]Hiyo si ilikuwa ni avatar yako hiyo?!
Huh!! Wifi lisa mambo gani tena hayo?Basi kubali wewe ndio lisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni kweli ishu tumeoanaMwanaume anaoa
Mwanamke anaolewa
Kwa maana nyingine ni kuwa:Mwanaume anatenda na mwanamke anatendwa.
Ukisikia mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake kuwa unapenda vya bure utaolewa wewe!! Inaashiria kuwa kuolewa ni kitendo cha aibu katika jamii ya kiafrika ndo maana kwa waingereza hutumia neno 'marry' kwa wote na hii imechangia kiasi kikubwa kwa wanaume WA kiafrika kutokuheshimu taasisi ya ndoa.
Pendekezo:Unapimuuliza mwanamke au mwanaume kama ameoa au kuolewa muulize hivi ; kaka/Dada hivi umeoana?
Sent using Jamii Forums mobile app