Iki ivi kiukweli mm ninafsi siwezi oa singles mother nina sababu kama kumi hivii na zina mashiko
1 huna uhuru na mtoto ukimpiga unamwonea
2 Mkigombana kidogo simu kwa x wake
3 kuchapiwa lazim uchapiwe wengine wameechan kwa ugumu wa maìsha akipata unafuu anatoa tunda
4 kuchsnganya familia yaaan watoto wansbaguana
5kiukweli mwanamke mpaka azaee kampenda huyoo jamaaa sana so unaingilia mspenzi ya watu
6 mbona mabint mtaaan wengi kwann ubebevmzigo wa mtuuu
7 x wake akijipata broo huns chako
8 singles mother automatically ni mke wa mtuu
9 huwa wanakupenda tuu kwa ajiri ya mtoto/watoto wake
Na mwisho kabisa kuoa singo mother ni kujichimbia kaburi