Kaka siku hizi makabira ni majina ,tu kuna dada wa kichaga namjua mambo yake ni pure mzaramo.Wewe ndiye muoaji hauoi ukoo.kama unaona anafaa beba mzigo

am proud to be machame! I pity u kwa jinsi ulivyo bado ktk zile zama za ulimbombo na ulindi!
Mmm ! try mehaya bwana.mie siweza kufanya research humu sababu nimegundua nikiuliza hamna atakayenijibu na ushahidi kuwa katembea na wadada wa kichaga kama wewe ulivyofanya,research yangu naipredict majibu yatatatokana na hearsay so i wont bother hamna majibu!
mhhh!na kweli kaka anguMuache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.
Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?
Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!
dah ila na nyie wachaga hapana bana,badilikeni basi kwanini ninyi tu ndo msemwe?
Mwe sikubishii Mpatanishi bahati mbaya nina kiherehere cha kujua chanzo zaidi ya ushuhuda. Kwa nini wamachame, kwa nini wawe hivyo, je kunasocio-cultural factor yoyote inayopelekea wao wawe hivyo??

By the way, ni wamachame wa kike tu wenye matatizo au hata wanaume wao maana mie binti, kigori so naolewa si kuoa Mpatanishi.\ kaka yangu

Pole kwa mjomba
Wanawake wa- kichaga tumebarikiwa kuliko wanawake wote. Na usawa huu wa hali mbaya ya uchumi tuko juu ile mbaya aisee chali yanguu. Mapenzi/sita kwa sita na blaaa blaa zote tutajifunza mbonaa. Tanzania bila Mangi's haiwezi kukamilika lol
Duh mbona mnawananga sana jamani
ndugu Zangu wanajf,nipo katika wkt mgumu wa kuamua nifanyeje kutokana na hali ilvyo,nina mpenz wangu na ninampenda sana naye pia naamini ananipenda pia, ni kabila lake, yaani ndugu, jamaa na marafik hawataki kusikia kabila hlo kabisa,uamuzi wa kuoa upo mikonon mwangu lakn kwa vile maisha hayaeleweki.
Nahofia hatapata support yoyote kutoka kwa ndugu kwnye malez na matunzo ya wanangu endapo nitalazmisha ndoa kisha nikaondoka duniani kabla yake make maisha hayaeleweki kesho ktatokea ktu gani,ndugu zangu nishaurin nifanyeje,either nimuache au nimweleze wazi ajue lakn nitamwachaje bila kosa?
Dondoshen ushaur wa maana bandugu coz ths is jus a ver sensitive issue!
Pole sn lakini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja! najua sio wachaga wote wenye tabia mbaya lakini mmoja tu ndio aliechafua jina la wachaga wote kama tujuavo samaki akioza mmoja wameoza wote! nina mfano wa kuuona kabisa, kuna mchaga tupo nae ofc moja basi kadi za gari, hati ya kiwanja vinakaa katika draw ofisini anaogopa kuviacha nyumbani sababu vya kwake yeye asije akafa akarithi mmewe ambae sio mchaga, upo hapo kaka? ndio maana wakubwa wanakuambia usioe mchaga mi nakushauri muoe wa kabila lako mtaendana sana tu
mhhh!na kweli kaka angu
Muache dada yangu hasije pata taabu bure kwenu huko kwa unyanyapaa..dada wa watu utakuta mchagga jina tu kakulia mjini maisha yake yote ka mtoto wa kizaramo, lakini kwa vile ana surname ya 'Riwa' basi inakuwa taabu! Tumechoka waChagga bana..Wezi sisi, Wauaji sisi, Wakabila sisi, Chadema sisi...aargh!