Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
Enyi waume ishini na wanawake zenu kwa akili,ukiweza kuishi kwa akili na mwanamke hata aje na kabati la madegree ataimana vizuri tu mbele yako. Wao ni watu wa Hisia, hawana /hawawezi kutafiti ndo maana shetani anawatumia wanawake kama mlango wa maovu, mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
mnhhh...ukiishi na mwanamke chini ya dari moja ndipo utapomjua utafiti wake.
Men are smart, women are smarter! Simdharau Mwanamke hata siku moja,...'mguu waweza ota tende!'