Sio kila mlemavu amezaliwa akiwa mlemavu la hasha wengi wanapata ulemavu wakiwa wakubwa tu for example mimi sikuzaliwa mlemavu na hata mwenzangu hakuzaliwa akiwa mlemavu bali matatizo madogo madogo tu ndo yanayoletea changamoto za ulemavuKuna uwezekano watoto wakapata changamoto ya usikivu pia?
Ok mkuu pole kwa changamoto hiyo.Sio kila mlemavu amezaliwa akiwa mlemavu la hasha wengi wanapata ulemavu wakiwa wakubwa tu for example mimi sikuzaliwa mlemavu na hata mwenzangu hakuzaliwa akiwa mlemavu bali matatizo madogo madogo tu ndo yanayoletea changamoto za ulemavu
Umeshawahi kuona watoto wa Manara?Kuna uwezekano watoto wakapata changamoto ya usikivu pia?
Hapana mkuu kwanini?Umeshawahi kuona watoto wa Manara?
Watoto wake wote weusi ,ulemavu hauambukizi ni kudra tu za Mungu.Hapana mkuu kwanini?
Nilikuwa sifahamu hilo mkuuWatoto wake wote weusi ,ulemavu hauambukizi ni kudra tu za Mungu.
Habari Wakuu,
Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie.
Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo kama langu na maisha yanaenda kama kawaida
Kuoa mlemavu sio kufeli!

Manara wazazi wake wangekuwa na ulemavu wa ngozi ni dhahiri watoto wake uwezo wa kuwa albino ungekuwa mkubwa. Hii case yake iko tofauti. Angalia familia waliooana wote ni mbilikimo, zaidi ya nusu ya watoto wao wanakuwa mbilikimo.Mambo ya watu wenye ulemavu yako sensitive hivi, embu tuyaache
Wewe sio mlemavu nenda hospital, wakalizibue hilo sikio limejaa asaliHabari Wakuu,
Leteni ushuhuda hapa wadau kwa wale walemavu waliooa au kuolewa na mulemavu mwenzie.
Nianze na upande wangu, mimi ni mlemavu wa sikio (kutosikia vizuri), nimeoa dada mwenye tatizo kama langu na maisha yanaenda kama kawaida
Kuoa mlemavu sio kufeli!
Fafanua kdg ulipitia changamoto gn mkuuSio kila mlemavu amezaliwa akiwa mlemavu la hasha wengi wanapata ulemavu wakiwa wakubwa tu for example mimi sikuzaliwa mlemavu na hata mwenzangu hakuzaliwa akiwa mlemavu bali matatizo madogo madogo tu ndo yanayoletea changamoto za ulemavu