Umesemaje? Sijaelewa ila kama unasema mwanamke ni muislam na wewe ni mkristo hutakiwi kumuoa kaanae mbali
Shauri kwa hapa je?
Ni vile mi nimKristu lakini wanawake waIslaam...
Ndoa yaezwa kwa urahisi?
Ama kila mtu na wao, mi pia na wangu?
Mkuu kuna shida gani Mkristo kumuoa Muislamu?
yaelekea kwamba wanairobi tupo wachache humu. Nimekuelewa mwenzako. Ni kwamba utafouti wa dini ni kazi sana kufunga ndoa kwa urahisi. Kama kiswahili cha kuandika akipandi viziri bora uwe unakomenti thread za wengine ili uwe unajifunza. Japo kuwa hapa jf siyo shule.
Eti sieleweki?
Nimekuskia Kwamtoro...haya wacha nikaende kazi ya kukoment basi. Lakini nijifundishe nini yawa?!
Hawanielewi kwani kuna tatizo gani kwangu niitibu?
Mkuu kuna shida gani Mkristo kumuoa Muislamu?
Kuna shida mkuu, kwa imani yangu mwanamke (muislam) hatakiwi kuolewa na mwanaume (mkristo). Ni somo kubwa kidogo mkuu