MEANDU unajua wengi wa humu aidha ni wabishi au wanakurupuka au basi tu maana ni aibu mtu kukanusha habari na kesho yake ikathibitishwa. Kama huyu jamaa yetu hajui kuwa kila image unagoogle inakupa source etc.
No way, sasa sijui google image au kitu gani? We ndio unakurupuka humu, most of my posts kwenye jukwaa hili ni jokes, wapumbavu kama wewe ndio kila jambo humu zengwe, get a life achana na mimi.

Asante sana ila kubali kukosolewa. Kwa msomi huwa anatahadharisha kuwa hii ni hadithi, joke, uvumi etc. Andiko lolote lisilo na tahadhari huchukuliwa kama andiko la uhalisia. Vile vile jazba haifai katika majadiliano. Ukikua tuacha tu. Asante kwa kuelevuka