Kunywa pombe kuna faida gani??

Nimekuwa najiuliza hivi pombe pamoja na kukatazwa na imani tofauti tofauti, Madaktari kuwazuia baadhi ya wagonjwa, na watu wengi kupewa ushauri waache pombe.
Lakini cha ajabu pombe inazidi kunyweka sana sana, pita mabarabarani utakuta bar zimeongozana na zimejaa watu mno wakinywa!, Kuna pombe za kila aina kuanzia za kizungu, za kichina, za kiarabu, za kiafrika( kama vile Denge, Chimpumu, Ngedule, Choya, Gongo n.k) n.k..
Hivi kweli jamani watu woote hawa wanao kunywa hizi pombe wanatumia kitu kisicho na faida???? Noo... naamini huenda zikawepo...
Faida ya pombe ninini?

binafsi sijaona faida ya pombe.zaidi yaku2fanya tuzidi kuwa masikini.
 
Back
Top Bottom