Kunyonyesha mtoto

nimesema mi si muumini wa kukamua maziwa ya mama...
 
I never stopped to think that my boobies would sag. Bringing a human being into this world is bigger than changes to a body that will happen anyway.

No regrets. Huyo mdada nampa pole.

Mama kanyonyesha miezi mitatu, hampendi.
Je, sababu ya kumpenda sana dada ni ipi? Dada alikua anamnyonyesha??
 
Eti ehhh?! Then I suppose lishe na formula ndo mpango mzima so long one can afford it.
 
Mama kanyonyesha miezi mitatu, hampendi.
Je, sababu ya kumpenda sana dada ni ipi? Dada alikua anamnyonyesha??
Kwasababu hawana muda wa kubond. Mtoto ana-spend more time na dada wa kazi kuliko mama yake, na ndio maana wengine hata neno mama wanaanza kulitamka wakilielekeza kwa dada wanaowalea badala ya mama.
 
Umeona eeh!!!

Hahahaa ndio hivyo watoto wengine ni noma hawakubali kabisa hiyo formular....utamaliza waganga wote kumbe kamtu kanasumbuliwa na njaa
 
Siwaelewi wanaokwepa kunyonyesha bila sababu ivi kwanza wanayapeleka wapi maziwa mana from my experience ukijifungua maziwa yanajaa na huwa yanauma Sana na the only solution ni kunyonyesha sasa Hawa ndugu zangu sijui huwa wanafanya nini kuepuka kero hizi
 
Ana umri gani mama wa kwanza?!


MankaM kweli aisee..wanakamua mpaka basi weee. Mi nimeamua kumpa wangu offer mpaka afikishe 2.5 alafu tunapigana kibuti cha manyonyo maana kafika mahali ananiambia kabisa "mamii kaa hapo" ili anyonye.
sorry sasa kako na 11.5 kg na ana miezi 12.5 ila jamani kanaongea

Utakasikia Nyonyo usiku kucha kwenye nyonyo ,asubuhi mie kazini
 
I enjoyed ku breastfeed aisee. Na hivi mtoto mwenyewe wa uzeeni kidogo... amenyonya hadi tunafanya debate akiwa nyonyoni. Yaani hadi ana miaka miwili na nusu...
Siku aliponiboa ( with a light touch and chuckle) hadi nikasema sasa basi, ni aliponiuliza kama nimeosha nyonyo vizuri na maji na eti, na vimu kabla sijamnyonyesha. Anajitia eti: mama nyonyo safi ? niko :'ndio'
Yeye: afisha ( umesafisha ) na lali ( maji)? Niko :' ndio na maji'
Kisha eti ' na vimu na deto'?
Kisa nilimwambia dada jana yake kuwa asafishe bafuni na dettol na vimu.

Nikasema haka sasa kametosha na ndio ikawa wiki ya bye bye nyonyo

Kwa ambao hawana matatizo, kunyonyesha ni jambo jema sana. kwanza linaleta lishe ya asili and God-given kwa mtoto, na pia inaleta bond kubwa sana baina ya mama na mwana.

Nyonyo oyeeee
 
Reactions: kui
sorry sasa kako na 11.5 kg na ana miezi 12.5 ila jamani kanaongea

Utakasikia Nyonyo usiku kucha kwenye nyonyo ,asubuhi mie kazini

Hahahah safi sana, yani hapo ukiendelea kumu-encourage katakuwa kanaunganisha sentensi muda sio mrefu.

Huyo mkomalie mama wa kwanza. Matunda na chakula, jaribu kumchunguza ujue nini anapendelea sana uwe unampikia mara kwa mara. Spaghetti, wali,ugali mzuri mlaini, chapati za maji na viazi ni favorite za watoto wengi. Mjaribishe kila kilichopo ndani ya uwezo wako. Alafu pia kama kuna mtoto mwingine karibu hata wajirani anaekujaga kucheza nae
washindanishe kula.

Watoto wengi hawapendi kushindwa haswa ukiwa unamsifia na kumpigia makofi kwa kufanya vizuri.
 

Hahahahahaha kweli kazi ulikuwa nayo.

Mie huwa ananiletea mto, ananiambia 'lala hapo' ili apate pozi zuri la kunyonya. Ngoja nianze kumbania taratibu akishazoea zoea kutokunyonya nimuachishe.

WALIMWEUSI usiponyonyesha baada ya muda maziwa yanakata yenyewe. Maana mtoto anavyonyonya ndo mwili unatengeneza mengine, asiponyonya mwili nao hautengenezi.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi wingi wa maziwa unatofautiana.Nishawahi sikia ukifanyiwa operesheni ya uzazi inapinguza maziwa.Hata hivyo kwa wafanyakazi ni mtihani mzito.Mimi nilijaribu kukamua na yakawa hayamtoshi muda nakuwa sipo nikaamua kumpa formula.

Alaa kumbe ukizaa kwa operation ndo inakua ivo? Basi mimi nimejishangaa this time maziwa hayajajaa kama kwa watt wangu wawili walotangulia. Yani ni kama sijazaa, nakaa kazini masaa nane nkirudi hata kutoja hayatoji, wakati kabla ya huyu nlikuwa nikiwepo kazini maziwa yanachiririka vibaya sana
 

Kuna rafiki yangu alijifungua tu na kusafiri kwenda masomoni...alipiga sindano ya kukausha maziwa (navyo kumbuka) Sina details maana by then sikuwa na mtoto wala sikuwa na interest na hizi story...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…