Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
yaani ni balaa mpaka jamaa mashavu yamebonyea kwa anavyolivuta sijui ndo mara yake ya kwanza kwa huyo bibie grafani11 kahamia kule sijui kaambiwa kuna siri gani ya urembo kule
Mr Rocky naomba nikuage japo kwa mda....wakati tunasubiri idhini ya Bujibuji......Kule unatakiwa uende kwa sababhu maalumu tuu ila sio jukwaa la kutembelea kila siku kama grafani11 anavyofanya
hapo nafikiri ni kama kwenye ukumbi maana watu wanaonekana wapio mzee hakuna soo kusema nae
hahahaha duhKuna mtu aliuliza unakula denda na gf wako, swali ukiletewa kikombe cha mate yake utakunywa?
mkurya kwa denda bwana, we acha tuu,
Hahahaah! Ngumu sana aisee.Kuna mtu aliuliza unakula denda na gf wako, swali ukiletewa kikombe cha mate yake utakunywa?
duh...! Ni balaa
Heaven on earth, jamaa anaweza kukung'oa hadi utumboSi anaweza kukung'oa ulimi huyu
Lazima binti apate virusi vinavyosababisha ugonjwa wa lips mtepetoHa ha ha hizo lips akitoka hapo huyo binti hazipo salama!
Huwa mnajidai na videnda denda uchwara mnavyoiga kwenye Isidingo, acheni hayo bwana kuna watu wanajua kupiga denda bwana, mtu anayonya mtu mpaka mate yote yanakauka. Hili ndilo denda bwana