Kunyongwa Kwa Mkuu Wa Majeshi: Watanzania Tumejifunza Nini?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Mkuu Wa Majeshi wa Korea Kaskazini Amenyongwa Mpaka Kufa Baada ya Kukutwa na Tuhuma Za Ufisadi Katika Nchi Hiyo. Hukumu Ya Kunyongwa Imekuja Baada ya Mkuu Huyo Wa Majeshi Kutoonekana Hadharani Toka Januari.

Sisi Watanzania Na Serikali Yetu Kwa Ujumla Tumejifunza Nini Toka Kwa Wenzetu Katika Suala La Uwajibikaji Na Utekelezaji Wa Sheria Bila Kupindisha Hasa Wakati Huu Tunapotumbua MAJIPU Na Tukiwa Tunasubiria Uanzishwaji Wa Mahakama Ya Mafisadi?
 
Mimi kuna kitu sikielewi vizuri, kipindi hiki cha kutumbua majipu wakurugenzi wengi wameachishwa kazi mfano wa Takukuru lakini sijasikia kwamba wamefikishwa mahakamani kwa vile ninaamini kuachishwa kwao kazi kunatokana na tuhuma dhidi yao. Na kama mtindo ndio huu watu watakuwa wana piga dili tu
 
North Korea siyo mfano mzuri wa nchi kama Tanzania kuiga.
Kuna uvunjifu mkubwa sana wa haki za binadamu huko Korea Kaskazini.
Hakuna mahakama huru huko, hivyo siyo rahisi kujua kama huyo mkubwa wa majeshi kaonewa au lah.

Lakini kama kweli ni corrupt that is THE BEST SOLUTION so far,
Traitors deserve to be put to death, even if it will wipe a quarter of national population.
Treachery stinks. Sijui kwanini watanzania hawaelewi hili somo.
Kiongozi corrupt ni kama Kansa.
 
Mimi kuna kitu sikielewi vizuri, kipindi hiki cha kutumbua majipu wakurugenzi wengi wameachishwa kazi mfano wa Takukuru lakini sijasikia kwamba wamefikishwa mahakamani kwa vile ninaamini kuachishwa kwao kazi kunatokana na tuhuma dhidi yao. Na kama mtindo ndio huu watu watakuwa wana piga dili tu
Sisiem nu ile ile mkuu
 
Cha kujifunza ni kwamba dictator hatabiriki. Leo anakuchekea, kesho unanyongwa kwanza halafu baada ya kunyongwa maiti inabambikwa kesi/mashtaka & hukumu.
_88203070_b9d40600-7e2c-41f8-b5e4-4697e2677bba.jpg
 
Hapa kwetu sheria zetu za adhabu kwa Ufisadi hazielekezi kunyongwa kwa mtuhumiwa mpaka kufa hivyo kama tunaona Mafisadi wanastahili kunyongwa hadi kufa upelekwe muswada bungeni wanakotunga sheria Mafisadi wanyongwe hadi kufa.
Angalizo:-duniani kuna Taasisi ya kutetea haki za binadamu ambapo hapa nchini kwetu wapo wanaharakati hao, wanapinga hukumu ya mtu kunyongwa hadi kufa kwa kuwa inakiuka misingi ya mwanaadamu ya kuishi. Kwa bahati nzuri kwa hili wanaungwa mkono na mataifa makubwa ambayo ndiyo wafadhili wetu hivyo sii rahisi kwa serikali yetu kupeleka mapendekezo ya sheria hii bungeni kitu ambacho ni tofauti na Korea ya kaskazini haiamuliwi mambo yake na mataifa ya nje.
 
Mkuu Wa Majeshi wa Korea Kaskazini Amenyongwa Mpaka Kufa Baada ya Kukutwa na Tuhuma Za Ufisadi Katika Nchi Hiyo. Hukumu Ya Kunyongwa Imekuja Baada ya Mkuu Huyo Wa Majeshi Kutoonekana Hadharani Toka Januari.

Sisi Watanzania Na Serikali Yetu Kwa Ujumla Tumejifunza Nini Toka Kwa Wenzetu Katika Suala La Uwajibikaji Na Utekelezaji Wa Sheria Bila Kupindisha Hasa Wakati Huu Tunapotumbua MAJIPU Na Tukiwa Tunasubiria Uanzishwaji Wa Mahakama Ya Mafisadi?
Na wewe unaamini ufisadi utachukuliwa hatua kwenye hii mchi???

Nikupe mfano, wewe huna kazi alafu ikawepo nafasi ya kazi mahali, kutokana na kujuana nikakupa hiyo kazi (japo hata wewe mwenyewe hukutarajia kama utakaa uipate...umeokota chungwa kwenye mwarobaini)

Baada kupata kazi, ukagundua mimi niliyekuweka kwenye hiyo kazi nilifisadi pesa somewhere, je utakua na power ya kunihukumu???? (Jijibu mwenyewe)

Kwa kifupi sisi tuko mile 10000000+ kufikia walipofikia wenzetu hasa hao wakorea, na hayo majipu sijui mahakama ya mafisadi ni mbwembwe tu hamna jipya...refer ya yona na mramba...usisahau ESCROW ilivyomalizwa
 
Hapa kwetu sheria zetu za adhabu kwa Ufisadi hazielekezi kunyongwa kwa mtuhumiwa mpaka kufa hivyo kama tunaona Mafisadi wanastahili kunyongwa hadi kufa upelekwe muswada bungeni wanakotunga sheria Mafisadi wanyongwe hadi kufa.
Angalizo:-duniani kuna Taasisi ya kutetea haki za binadamu ambapo hapa nchini kwetu wapo wanaharakati hao, wanapinga hukumu ya mtu kunyongwa hadi kufa kwa kuwa inakiuka misingi ya mwanaadamu ya kuishi. Kwa bahati nzuri kwa hili wanaungwa mkono na mataifa makubwa ambayo ndiyo wafadhili wetu hivyo sii rahisi kwa serikali yetu kupeleka mapendekezo ya sheria hii bungeni kitu ambacho ni tofauti na Korea ya kaskazini haiamuliwi mambo yake na mataifa ya nje.
Sawa kunyongwa tutajitetea na swala la haki za binadamu lakin je hawa mafisadi wanaopewa vyeo mpaka bungeni wamechukuliwa hatua gani za kisheria????
 
Mkuu Wa Majeshi wa Korea Kaskazini Amenyongwa Mpaka Kufa Baada ya Kukutwa na Tuhuma Za Ufisadi Katika Nchi Hiyo. Hukumu Ya Kunyongwa Imekuja Baada ya Mkuu Huyo Wa Majeshi Kutoonekana Hadharani Toka Januari.

Sisi Watanzania Na Serikali Yetu Kwa Ujumla Tumejifunza Nini Toka Kwa Wenzetu Katika Suala La Uwajibikaji Na Utekelezaji Wa Sheria Bila Kupindisha Hasa Wakati Huu Tunapotumbua MAJIPU Na Tukiwa Tunasubiria Uanzishwaji Wa Mahakama Ya Mafisadi?
Sasa kama amenyongwa unataka kusemaje? Yani unataka iwepo adhabu ya kifo kwa mafisadi? ffanua ueleweke.
 
Kama tutafikia hatua ya N. Korea, basi inabidi tutumie bomu kwan nadhan ni nusu ya watanzania ni mafisadi!!
 
Tulishaamua ufisadi kuwa ndo maisha ya mjini,kama hauibi wewe Ni mshamba...
sijawahi sikia hukumu nzito kwa fisadi yoyote hii nchi so far.
Rais aliyepita alisema atapambana na mafisadi papa,sijui ndohawa wanaofagia? Ngoja tumwone na huyu labda watalima badala ya kufagia. Mpaka sasa amewapumzisha tu kazi
 
Back
Top Bottom