Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,572
- 20,447
Ushuhuda wa macho ni ushahidi wa kiwango cha chini sana japo sijui ulishuhudia nini?Mimi mwenyewe nilikuaga mbishi kama wewe ila baada ya kuyashuhudia ndio nmebaki mdomo wazi.
Ushuhuda wa macho ni ushahidi wa kiwango cha chini sana japo sijui ulishuhudia nini?Mimi mwenyewe nilikuaga mbishi kama wewe ila baada ya kuyashuhudia ndio nmebaki mdomo wazi.
Wengine kwa kuamini uchawi huenda kuchanjwa na matapeli "waganga." Sema hawezi kukwambia hilo.Nimechunguza visa vingi vya watu, unaweza fikiri ni panya au mikwaruzo inayotokana na kazi, lakini chale hizo zinaonekana kuwa systematic, unakuta mtu amechanjwa chale 3 mkono wa kulia na 3 mkono wa kushoto, hivyo hivyo miguuni. Hapa lazima ujiulize yawezaje kutokea hilo? Mwingine amenyolewa sehemu 3 kichwani, mbele katikati na kisogoni, unasemaje?
MCHAWI MKUBWA WE.Watz wengi ni wajinga sana(Mollel 2023) na ndio hao wanaoamini mambo ya uchawi na ushirikina. Hakuna mtu mwenye akili timamu na IQ ya kutosha anaweza kuamini mambo ya uchawi na sarakasi zinginezo za kufikirika
Daktari naomba nikupm na mimi mwanangu ana hili tatizo na linanisumbua sana, ni mtoto wa miaka miwili.Kama ambavyo kuna sumu au dawa haswa za anticancer zinazoweza kumfanya mtu akanyonyoka nywele zote hadi vinyusi....
Je? Haiwezekani zikawepo kemikali na dawa nyingine zinazoweza kupelekea kunyonyoka sehemu au nywele zote.?
Kemikali hizo zinaweza kuwa;
Dawa
Vipodozi
Viuatilifu vya mimea
Kemikali za kwenye migodi
Vichafuzi kwenye hewa
Vichafuzi kwenye maji, ardhi, mimea, chakula etc.
Sumu za kuhifadhia mazao
Mwitikio wa mwili usio kawaida, mzio
Etc
Shambulizi la 'free radicals'
Lishe upungufu wa madini
Magonjwa
Etc
Nadharia yangu ni zinanyonyoka na si kunyolewa ndio maana hukuti zimekatwa mahala bali unakuta peupe ni kama upara, kuanzia kwenye mizizi na ndio maana zinachelewa kuota maana muda mwingine madhara yameanzia kwenye 'hair follicles.
Karibu sanaDaktari naomba nikupm na mimi mwanangu ana hili tatizo na linanisumbua sana, ni mtoto wa miaka miwili.
Kama ambavyo kuna sumu au dawa haswa za anticancer zinazoweza kumfanya mtu akanyonyoka nywele zote hadi vinyusi....