Kunyimwa vyeti udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunyimwa vyeti udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mansakankanmusa, Aug 14, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  serikali iliangalie suala hili kwa sura ya nje sio ya utawala wa chuo

  sababu aliyotoa waziri kuhalalisha kunyima vyeti wanafunzi kwa sababu eti waligoma kusaini

  sio sahihi. wawaite wawasikilize

  source: BUNGE LA TZ
   
 2. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbona hueleweki, waligoma kusaini nini sasa?
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wa UDOM tangu wachangishane pesa za jk kuchukua fomu za kugombea urais,mimi siwathamini tena, ila kama walikataa kusaini fomu za mkopo kwa mujibu wa Dr. Kawambwa wanatarajia hiyo mikopo wangepata je na inashangaza chuo kiliendeleaje kuwaruhusu waendelee kusoma wakati mikopo haipo!kama kuna sababu zingine ambazo zimesababisha wasipewe vyeti waseme!
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa Dr. Kawambwa wanafunzi waliokosa vyeti ni wale waliokataa kusaini fomu za mikopo hivo mikopo yao haikuja walipomaliza wanatakiwa walipe mikopo hiyo ndio wapewe vyeti! maana bila kusaini fomu za mikopo wangepewaje mikopo??
   
 5. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  hapo nimeelewa, nawapa pole sana ila ndio mfumo wa nchi yetu. Wasubiri tu 2015 walipe kisasi. Mi sidhani kama waligoma ila ni mfumo mbobu wa uongozi wa chuo na ukosefu wa utaratibu kwa ajili ya usainishaji.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Kawambwa kasema wamegoma wachache wengi wao wamepewa vyeti kwa kuwa walisaini fomu za mikopo na bodi ya miikopo ikapeleka mikopo chuoni hawa vichwa maji ndio waligoma matokeo yake hawana vyeti hadi sasa na wameambiwa pesa ambaye walitengewa ya mikopo imerudi hazina na imelipia wanafunzi wengine maana hawa walikataa kusaini ili wapewe!!
   
 7. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  asilimia karibu ya 90 ya viongozi wa inchi hii hususan magamba wanaongea kitu wasichokifaham.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  2015 katiba mpya. Uongozi mpya, lakini si magwanda, hilo sahau.
   
 9. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Kwani mimi nimetaja Magwanda na magamba hapo? mi nimesema wasubiri 2015 walipe kisasi, 2015 ina uhusiano gani na magwanda?
   
 10. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ndio mfumo uliopo huo lakini una mushkeli. Wakati tupo mwaka wa pili chuoni ilitokea incident kama hiyo, watu hawakusaini pesa zao, chuo kikadai zimerudi bodi. Vijana wakaenda bodi sio kudai pesa zirudi chuo bali wakataka wapewe barua maalum zinaonyesha kuwa hawakulipiwa 2nd semester of 2nd year.

  Hapo ndipo bomu lilipolipuka, kumbe zile pesa bado zilikwepo chuo, maofisa wa chuo na bodi kwa pamoja walikuwa wanasubiri jamaa wamalize waje kupiga ile pesa at the end jamaa waje kudaiwa kama walipewa. Haikupita muda, vitabu vikaletwa tena chuo na watu wakasaini kama kawaida, watu walisaini 2nd semester fee of the 2nd year wakati tuko last semester 3rd year.
   
 11. suleym

  suleym JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Achana nae huyo akilala anaota magwanda. kwa ujumla yy muda wote anawaza magwanda 2.
   
 12. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu kazaliwa kipindi hiki jamaa yetu yupo madarakani tusimlaumu sana, lakini sisi tunayo kumbukumbu nzuri ya NCCR ya Mrema hivyo hatushangai sana.
   
Loading...