Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.
Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,
Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,
Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Hivi mwanafunzi anaweza kuhama kutoka private kwenda serikalini msaada tafadhali?Mwambie dada yako awasiliane na namba hii 0767221344, kisha aelezee kila kinacho msibu na atapata msaada.
Hapo kosa la kwanza ni shule iliyo mfukuza mtoto kwasababu tu mzazi anadaiwa, na kosa la pili ni shule iliyo kitaa kumpokea mtoto kwasababu tu hajakilisha uhamisho.
Ndio mkuu, binafsi niliwahi kufanya hivyo kwa bwamdogo wangu.Hivi mwanafunzi anaweza kuhama kutoka private kwenda serikalini msaada tafadhali?
Zile namba ulizonipa ni za afisa elimuNdio mkuu, binafsi niliwahi kufanya hivyo kwa bwamdogo wangu.
Kwanza nilitafuta shule ambayo nikitaka ahamie, then nikaenda kumuombea nafasi ya kusoma (haki ya mtoto ya msingi) kwa muda wakati nashughulikia uhamisho.... baada ya hayo, mengine yalifuata
Mkuu, zile ni namba za waziri husika wa hicho kinacho kusumbua.Zile namba ulizonipa ni za afisa elimu
Ulipe tu deni la watu.Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.
Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,
Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,
Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Thanx Kaka angu, ngojea nimpe awasiliane nae, naamini atamsaidia maana awamu hii mawaziri wapo kikazi kumuhofia bwana mkubwaMkuu, zile ni namba za waziri husika wa hicho kinacho kusumbua.
Na yeye ndie aliwaweka hadharani kwa wenye uhitaji na shida kama wewe
Asante mkuuThanx Kaka angu, ngojea nimpe awasiliane nae, naamini atamsaidia maana awamu hii mawaziri wapo kikazi kumuhofia bwana mkubwa
Kumbe mkuu wewe ni waziri ---- manina mungu anipe nini mimi numeshatoka maisha haya " yaani rafiki yangu ushimen ni waziri halafu niendelee kula msoto ". Hata shetani atanichekaMkuu, zile ni namba za waziri husika wa hicho kinacho kusumbua.
Na yeye ndie aliwaweka hadharani kwa wenye uhitaji na shida kama wewe
[emoji12] [emoji12]Kumbe mkuu wewe ni waziri ---- manina mungu anipe nini mimi numeshatoka maisha haya " yaani rafiki yangu ushimen ni waziri halafu niendelee kula msoto ". Hata shetani atanicheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol,Kumbe mkuu wewe ni waziri ---- manina mungu anipe nini mimi numeshatoka maisha haya " yaani rafiki yangu ushimen ni waziri halafu niendelee kula msoto ". Hata shetani atanicheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sekondari hairuhusiwi mwanafunzi kutoka private kwenda serikaliniNdio mkuu, binafsi niliwahi kufanya hivyo kwa bwamdogo wangu.
Kwanza nilitafuta shule ambayo nikitaka ahamie, then nikaenda kumuombea nafasi ya kusoma (haki ya mtoto ya msingi) kwa muda wakati nashughulikia uhamisho.... baada ya hayo, mengine yalifuata
SawaSekondari hairuhusiwi mwanafunzi kutoka private kwenda serikalini
Hakuna kisichowezekana chini ya ccm.Sekondari hairuhusiwi mwanafunzi kutoka private kwenda serikalini