labda hujamnunulia zawadi mkeo sikinyingi...wanawake wanapenda kudekezwa, halafu umwambie kama unampenda kila siku... Morning kisses and hugs... Mpigie simu muulizie hali yake, mwambie umemkumbuka, muonyeshe kama unampenda... Sasa nyie ni kazi ya kitandani tuu wajameni... It doesnt work that way with us bana...
And yes you should know how to put her in mood b4 ile kitu...
hahaha calm down the boss (ile cigar ya cuba umeimaliza?)sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????
Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....
While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........
hahaha calm down the boss (ile cigar ya cuba umeimaliza?)
yani u call that usumbufu? kitu gani apo ni usumbufu?
sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????
Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....
While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........
sasa usumbufu wote huo as if hiyo sex nainjoi peke yangu wtf???????
Halafu utakuta mwanamke amelala uchi kabisa kitandani na still anakuambia hayuko kwenye mood....
While kulala kwake uchi kunakuweka wewe kwenye mood,
all women are crazy,i believe so.........
...crazy to make you up! so be crazy to make her up too, so that you both enjoy!
am crazy enough to dirvoce her and marry another woman....
labda hujamnunulia zawadi mkeo sikinyingi...wanawake wanapenda kudekezwa, halafu umwambie kama unampenda kila siku... morning kisses and hugs... mpigie simu muulizie hali yake, mwambie umemkumbuka, muonyeshe kama unampenda... sasa nyie ni kazi ya kitandani tuu wajameni... it doesnt work that way with us bana...
and yes you should know how to put her in mood b4 ile kitu...
si huo usumbufu wa kunitaka nikubembeleze kwanza....
wakati we both enjoy it???
ile cohiba nimemaliza.
wewe vipi wavuta cigar?
ooow shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit umemaliza mmmmm too bad...ile cohiba nimemaliza.
wewe vipi wavuta cigar?
kwni kunatabu gani kubembeleza? au kudekeza... I think it is very sweetUmbembeleze kama vile anakufanyia favour! pamoja na kuwa naye anafurahia tendo hilo. Ni maajabu lakini ni kweli kabisa. Wanawake wanaotumia tendo la ndoa kama silaha za kuwaadhibu waume wao wana kasoro kubwa sana.
Ndo maana dini zingine zimeruhusu kuoa zaidi ya mmoja kuepusha haya,
ooow may be u never love her after all so she will be better off without u ... u would rather go thru a hellfire divorce than make up with her? well u do that then ..hahhaaam crazy enough to dirvoce her and marry another woman....