Kunyimwa tendo la ndoa kunakera sana

Poa
 
Ya nn umtese mkeo na beki tatu yupo??[emoji3][emoji12][emoji12]wanaume wengine tumeumbiwa huruma sana
Ndo maana tangu enzi na enzi wanaume walioa mke zaidi ya mmoja kiuasilia ke kuliwa kila siku haiwezekani nyie mna nguvu kutuzidi hapa tukubali tu

Mwanaume akiona jicho zuri huyo tyr kitu kimeinuka lkn ni ngumu ke kuona six pack na hapohapo akakojoa ngumu sana
 
na mwanamke akiwa na genye ukamnyima kumpa chakula utakuwa adui yake kuanzia hapo, sijui dawa nini mpaka akupe papuchi, maana usipompa leo akakublock na wewe utatumia njia gani akupe? kapeace mwaga ushauri hapo
 
Pia kuchoka jamani.. Mwanamke kama anafanya kazi anatoka jioni kabisa anarudi nyumbani aanze majukum ya nyumbani nayo yaliyokuwa yanamsubiri (wakati huo mwanaume akirudi anashika either remote au smart phone yake na kuingia jf, fb na kwingineko) akimaliza shughuli za nyumbani hapo ni saa ngap atatamani hilo tendo jamani?
Hapa nmeongelea wale walio ndani ya ndoa.
 
na mwanamke akiwa na genye ukamnyima kumpa chakula utakuwa adui yake kuanzia hapo, sijui dawa nini mpaka akupe papuchi, maana usipompa leo akakublock na wewe utatumia njia gani akupe? kapeace mwaga ushauri hapo
Siku za joto zile za kubeba mimba miili yetu automatically hupenda sana dudu ndo hapo ukimnyima na hizi siku zikapita hujampa na akakuwekea kisirani kupewa itakutaka ubembeleze na kumpetipeti sana kwa kumletea zawadi yaani km unatongoza, tupo hivyo msituchoke
 
Huyu ni kumtafutia muda mzuri unatoka naye nje kabisa nje ya mazingira ya nyumbani unapiga soga mbili tatu, vinywaji pembeni misosi za kutosha hapo hapo unaanza kutongoza mdogo mdogo wife lazima vulva zivimbe mchezo unakamilika unagonga hukohuko siyo nyumbani
 
Wanawake wana matatizo ya mfumo.
Wao ni failure, hawakawii kuwafelisha kiumeni kizembe kabisa!

.........sijisikii!

Si ujiambie ili upate kusikia?

Hamkuzipewa ili ziwe zenu!
Mmepewa ili wasionazo wazitumie.

Muwe mnajiandaa msisubiri kuandaliwa.
 
hahahahaha nice quote ever, very good answer
 
Wanawake wana matatizo ya mfumo.
Wao ni failure, hawakawii kuwafelisha kiumeni kizembe kabisa!

.........sijisikii!

Si ujiambie ili upate kusikia?

Hamkuzipewa ili ziwe zenu!
Mmepewa ili wasionazo wazitumie.

Muwe mnajiandaa msisubiri kuandaliwa.
Exactly, hawavuti zile picha nzuri za nice moments za wapendwa wao, hii njia inasaidia kuamsha amsha kwa upande wao
 
Ndo maana ni muhimu kuwa na wanawake wanne chumbani. Akizingua moja unapanda mwingine. Allah akbar
 
Ndo maana ni muhimu kuwa na wanawake wanne chumbani. Akizingua moja unapanda mwingine. Allah akbar
 
Unachokaje? Nyie ndio mnatengeneza mazingira ya sisi kuchepuka,

Sawa kwa kauli hizi wacha tuwakubalie muendelee kutubaka tu tatizo katika ubakaji huo asilimia za upendo zinaporomoka mpk kufikia zero na hapo Ndio naxsisi tatatafuta romantic guy wa kutupunguzia ashki huku wewe unapewa ya kibakaji kwa msela anapata natural mtelezo
 
Ndo maana ni muhimu kuwa na wanawake wanne chumbani. Akizingua moja unapanda mwingine. Allah akbar
Sawa ila wsijuane hisia zetu ni complicated sana na hamjui kuzihandle mnafeli sana ke ajue umetoka kumla Fulani nae akupanulie tu na mauno ya kimakonde hahahahahah thubutuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…