Kumnyanyasa mtu kimapemzi kuko kwa aina nyingi. Mimi nina experience ya ndoa na pia baadhi ya wanandoa watakubaliana nami pia.
 Kumtuhumu mwenzako kua ana mahusiano ya nje ukiwa huna uthibitisho wowote ni kunyanyasana kimapenzi huko {Tick}
 Wanawake wengi huwanyayasa wanaume kimapenzi, wanawake walioko kwenye ndoa ingawa sio wote hawaoneshi kumuhitaji mume kimapenzi hata siku moja. Yaani mwanaume usipomwambia mkeo unahitaji kwa siku hiyo mnaweza kukaa hata mwaka mmoja. Mwanamke anachofanya ni kunong'ona na kukulalamikia umepana nyumba ndogo nini? Wanawake hawasemi baba X leo nina hamu njoo au sogea karibu- Hii ni kweli ila inategemea na maadili aliyokuzwa nayo. Wengi wetu tumelelewa tukihimizwa kuwa tendo hilo ni baya, chafu, aibu na halifai kulifanya (enzi za utoto), kama hiyo haitoshi tunafunzwa kuwa na ile heshima ya woga (wengine huambiwa marufuku kuvaa vijiguo vya kiuchokozi ) sembusa kudai baba nanii leo naomba?!
 Masharti yasiyo ya lazima pia ni kunyanyasana kimapenzi kwa mfano unakuta mke na mme hamna kugusa simu ya mwenzio. Mh hili litakuwa nyanyaso la enzi za usasa!! hapana siwezi kuiita kama manyanyaso kwa maana halisi ya neno hilo!
 Huduma za nyumbani, mfanyo mimi napenda sana mke wangu anisevie chakula na sio House Girl. Lakini baadhi ya wanawake hawajali house girl ni kila kitu.- Hii ifanyike out of mapenzi na zio wajibu au lazima
 Kuwa na mahusiano nje ya mwenzako iwe mpenzi, mke au mme pia ni kumnyayasa mwenzako kimapenzi
 Maisha ya ugomvi wa mara kwa mara pia
 Ngono bila kinga kama sio mkeo pia ni unyanyasaji wa kimapenzi-Hapa nani anamnyanyasa mwenzie?
 Kutokuwa na muda wa kutosha wa kukaa na mwenzio, baadhi ya wanaume wanapotoka kazini na kupitia vijiweni hadi usiku, ni kuwanyayasa wenzi wao
 Kutotoa mahitaji muhimu