Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

Kunya Anye kuku akinya bata kaharisha! msaada tupewe wanawake tu! kutoa issue!

Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Nimetoka kidogo, nimekuja kwa sultani huku kutafuta maisha na kujaribu bahati yangu, huenda nikaopoa oil magnate mie! Halooooooooo! Kantangazeeeeee! Hamtokunywa maji humu jamvini, Nimekutana na shosti yangu wa kitambo anakaa huku huku kwa sultani na mumewe, hajatia timu bongo mwaka wa 7 huu na aliondoka mdogo si masikhara!

Huyu bibie alisomeshwa na bf, yasikitisha ila ndo mkufunzi wa get rich or die trying! Rise above the hood philosophy! Sasa baada ya kusoma mpaka form 4 huyo bwana akamfanyia mpango akaja kuishi huku Oman pia akaendelea kumsomesha mpaka chuo kamaliza! Wameishi 7 years kazaa mtoto 1.

Sasa yule bwana hakusoma wala nini, na bibie saivi anafanya kwa wazungu na ni mtu wa bigger picture siku zote! Sie Muscut tunaisoma ramani uzee huu, wakati yeye mbichiii kaja kusaka maisha huku kwa warabu wenyewe!

Anataka amkimbie huyu bwana huku! Anavomuona kafikia climax ya maisha keshakuwa stagnant, hawezi kutoka zaidi ya hapo n hafanyijitihada za kutoka! Karidhika in short! Yeye shoti yangu bado kuridhika ni fghter vibaya mno!

Sasa kuna mungu kamfanyia mpango pande za Us kampuni hio hio, kama anataka aende, na yeye keshachoka mambo ya watu wa sultan, anataka akajaribu maisha na kule nako! Ila sasa huyu lazy bill hajawahi kkosea kitu kikubwa, na culture ya waarabu anampenda kweli na kumheshimu mpaka baaaasi! Aakuwa guilt kiasi flani! Ila mambo ya kumlea mwanaume amechoka! Wanaume anachuklia poa coz alivokuja Muscut miaka 5 alimsapoti bibie bila kazi, na shule juu akawa hataki ateseke kwa warabu kurun errands! Anaona ni maisha, aapuia kazi kwa muda.

Ila na umri unatutupa mkono, she has to act fast kujipata maisha anayotaka! Call me selfish nimemwambia aende Us akjaribu bahati, ila amuage tu mumewe na kumwambi mambo yakiwa mazuri atamfata waungane! Watu wote waamwambia kwamwanamke alipo panatosha! Aache tamaaa! Aaaaaaah! Wapi! Mwanamke ilikuwa zamani, sku hizi maisha kwanza.

Mwaonaje nyie!

Kama kweli ni kazi tu kwann asikae akaongea na mumewe?
labda uniambie kuna zaidi ya kazi ntakuelewa
 
fursa sawa aage vizuri kwa mumewe basi amueleweshe kuhusu hiyo chance na akubaliwe kiroho safi otherwise sononeko la mume laweza kumfanya mambo yasimnyokee huko aendako
Akiaga mumewe kumzuia ni raisi sanaaa! Yeye bado ana mkoba wa kibonho kule anatumia karatasi kwa hisani y huyo bwana ndo ana mkoba, so akimua kumfanyizi ni vwry easy hasa huku jaribio la kumtooka mume si jambo dogo atiiiii?
 
not forgeting men's statistics too....life aint fair,there are times u just got nothing to lose,waiting for destiny to play cards right for you may not bring what u wanted and what makes u happy...inapojitokeza nafasi grab the opportunity matokeo utajua along the way...
Hyo situation amueleze mumewe na asimtupe coz ye ndo chanzo hadi kafika hapo alipo
Maneno kuntuuuuuuu hayaaaaa! Mume anaweza kumharibia kila kitu! Hawezi kuubali aende kule hta kwa libwata!
 
Akiaga mumewe kumzuia ni raisi sanaaa! Yeye bado ana mkoba wa kibonho kule anatumia karatasi kwa hisani y huyo bwana ndo ana mkoba, so akimua kumfanyizi ni vwry easy hasa huku jaribio la kumtooka mume si jambo dogo atiiiii?

mshauri ajaribu kama kudokeza katika utani aone mume atasemaje lakini kutoroka nako pagumu maaana kuna kababy nako atakaacha yataka moyo
 
Nimekupata hapo.kwa style hiyo inabidi aondoke kimyakimya lakini akifika US amueleze mume ili amjoin au njia ya busara zaidi ni kwa yeye kufanya as if anaenda US kwa kikazi kwa muda wa mwezi then akiwa US ndio amwambie mume kuwa amepata kazi inayolipa zaidi US hivyo amjoin,naamini ataelewa.Elimu ni kitu kizuri sana,kuishi na mtu mwenye upeo mdogo kifikira na anayeridhika na vidogo ni kazi sana.Kupenda mafanikio makubwa sio dhambi as long as mke anakumbuka aliyofanyiwa na mume kwahiyo hayo maamuzi inabidi yatekelezeke kwa busara

Mtu unaelala nae kitanda kimoja miaka 7 lazima utamuelea mno mno ! Unaweza hta ku predict reaction yake juu ya jambo flani mapemaaa coz unakuwa ushamsomaa!

Akimwambia kakataaa atakuwa keshamstuaa kumb ndo unachowaza? Mi najua unfuraha umeridhika na mimi kumbe waniona lofa tu? Na manaume ndo ana mkoba/passport wa huku tayari na mwanmke aategemea karatasi kwa hisani ya mwanume!

Sasa akimwambia who knows akiamua kumblock kama mkewe aporwe working permit? Manake warabu mume ana nguvu balaaaa! Au akimidivorse kawa deported ghfla? Manake kwend kule inabidi apate refernce za hio kampuni yao recomendation letter, certificte of servise na mazag kama hayo!

Bora atoke kwanza kwenye utawala wa sultani, kama kumjuliaha iwe akiwa Us tayari, manake bila hivo risky sanaa! Nchi za watu ni sheeeeeedaaaaa?!
 
Kwenda aende lakini asimtose mume wake, ujue hapa dunia huo ni mtihani tosha, asijidanganye Kuwa mumewe hajasoma ndiyo atakufa masikini, akimtosa mambo yakiwa huko siyo kisha jamaa Mungu amshushie riziki atapata kigugumizi kurudi,
Kumbuka siku hizi maisha ni kismati wengi wamesoma na wanazunguka na bahasha kutwa, asijione kupata ni ujanja, siku hizi malipo ni duniani.
Watu mnaongea kirahisi rahisi tu! Hivi wewe mkeo uliemtoa mbali sanaa, manake wewe ulitngulia Oman umesota balaaa, mik kibao mpak ukashindwa kuoa kwa wakati una hustle mwanzo mwisho, ikwa ukija bongo kuna kaschana unajiburudisha nako, kianafunzi, unakapend il ndo hivo mda wingi unasotaaa, misha bado kukukalia fresh!

Baadae kika feli form 4, kika resit 2, akapata credit sema ada issue! Kikakutumia email nitafutie kazi ya hoteli nije nigange njaa huko Uarbuni, mie vyombo naosha, uhausiglo nafanya, shuka nafua, sichgui kai maadam nipate opportunity y kutafuta maisha popote ila sio bongo manake shule ishahindikana na home hakueleweki!

Ukaingiwa imani kiburudisho chakp tenaaaa? Ukaona si mbaya kikija kujaribu maisha huku unajiburudisha nacho jioni! Si hana pa kufikia! Ukafnya juu chini kati, ukasababisha nauli kikaja, uknogewa kujisevia ukona hata kwa warabu hakuna kwenda, asa ukaona anapenda shule sanaa, afu mdogo, umsomeshe tu huku unajilia vyako!

Mungu si Lara baada binti kaja n riziki, ana nyot maisha yaenda yakikunyookea! Leo hii umejijenga kiasi, kupumzika kazi kidogo tu akwmbie anaend Us kutafuta maisha, maisha unayompa ya kilofa tu, yeye lazima aishi kimatifa zaidi na mambo kama hayo!
Utamruhusu nendaaaa eeehhhhhh mke wangu, tena n mienaja????? Thubutuuuuuuuuuu!
 
Kama atamzuia basi atakuwa kikwazo cha maendeleo yao, mwanaume kabisa understanding hawezi kumzuia mke wake kwa jambo kama hilo,
Ila yeye anamjua mumewe tabia yake, kama anahisi atamzuia asiage Kuwa anaenda kufanya kazi, amwambie anaenda kuongeza ujuzi kidogo kisha atarudi, ila asimtose kabisa, hiyo dhambi itamrudia, hata mimi mke wangu awe hana kazi, niende USA kikazi, siwezi kubabaika nikamsahau huku lazima nitamvuta tu.
 
Swali analotakiwa kujiuliza ni hili, maisha ni nini kwake? Jibu lolote atalopata kwa swali hili, litamsaidia kuamua hiyo ishu yake kirahisi sana.
 
Achape lapa ndoa kitu gani hata mbwa anaoa na kuacha.
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Karucee]#Karucee [/URL] , I have been watching u close in your posts and comments, I adore u more than I was adoring #LARA1 (no offense intended)

A. KARUCEE
B. LARA1
C. .........?????

Back to the topic, This issue sounds too feminine, Let me sit-back and just read...lol!!!!!

But Partially, I would agree with [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Karucee]#Karucee [/URL] ... Women substance are very rare to find at the present..
 
Ni wivu umekujaa sababu ana wake au? utamshaurije mwenzako aende ishi mbali na mumewe? Kwanini haumshauri aongee nae na ndio wapange itakuwaje kwa amani. Ila huyo hana shukurani akimkimbia na dua atasomewa na kujuta maana na USA kazi hataendelea na kuishia bomu tu. Aongee na wake huyo, ndoa ni muhimu kuwa na mawasiliano pia.

So nawe ndio umepelekwa na mhindi au?
 
#Karucee , I have been watching u close in your posts and comments, I adore u more than I was adoring #LARA1 (no offense intended)

A. KARUCEE
B. LARA1
C. .........?????

Back to the topic, This issue sounds too feminine, Let me sit-back and just read...lol!!!!!

But Partially, I would agree with #Karucee ... Women substance are very rare to find at the present..
Hahahaaaa! We mi sijaanza KU PRETEND NA KUJIFANYA SAINT FROM HEAVEN! Nikianza mwenyewe lazima unikubali! Mtakatifu balaaa!

BUT IM TOO SCHOOLED TO THE RULES OF NATURE! Always people do not want to see the truth for what it real is! Always looking for the bright side!
 
Ni wivu umekujaa sababu ana wake au? utamshaurije mwenzako aende ishi mbali na mumewe? Kwanini haumshauri aongee nae na ndio wapange itakuwaje kwa amani. Ila huyo hana shukurani akimkimbia na dua atasomewa na kujuta maana na USA kazi hataendelea na kuishia bomu tu. Aongee na wake huyo, ndoa ni muhimu kuwa na mawasiliano pia.

So nawe ndio umepelekwa na mhindi au?

Hahaaaaa! Naona unajitahidi to make it about me! Nimeletwa na mwarabu kwani unanidai?

Dua za kuku hazimpati mwewe asilani, na kerere za chura ni ngumu kumzuia tembo kunywa maji!

In this life we get very very few chances, if she doesnt grab them by the balls she will end up wondering how she became second rated! Akamate tu fursa! Vyuo bado anavyo vya kutosha!
 
Kama atamzuia basi atakuwa kikwazo cha maendeleo yao, mwanaume kabisa understanding hawezi kumzuia mke wake kwa jambo kama hilo,
Ila yeye anamjua mumewe tabia yake, kama anahisi atamzuia asiage Kuwa anaenda kufanya kazi, amwambie anaenda kuongeza ujuzi kidogo kisha atarudi, ila asimtose kabisa, hiyo dhambi itamrudia, hata mimi mke wangu awe hana kazi, niende USA kikazi, siwezi kubabaika nikamsahau huku lazima nitamvuta tu.
We mtu mzima anaikimbiza 40 anaamua kupumzika kazi huyo maendeleo gani anayataka? Kuna wanaume nunda anakunyima kitu just for the ego!
 
Kwanini asiondoke na mume wake?kumbuka USA anaenda kujaribu tu ,mambo yanaweza kua hovyo huko ikawa issue
 
Real Women, Women of substance are becoming fewer each day.

They are being replaced by these cold hearted lustful and naive little monkeys who think life revolves around the axis of material gains earned by whoring.

Umeolewa Karucee?wife material hearted
 
Last edited by a moderator:
Umeolewa Karucee?wife material hearted
Kuna wife materialism na OLD SCHOOLISM, wale old schook mwanamke hana nafasi, ilipo nafasi ya mume ndo yake ipo! Usiombe upate mume mume zobaaaa utachora chini! Mume mjenga mijumba utaozea ndani!

Ila thank God kizazi changu, a woman can go more places on her own than with a husband! Ndoa nayo mzigo! Ukiamua kubadilisha upepo kidogo, umri unao mkononi kazi ni kwako tu! Ila ikiwa na mume mpaka akibali leo? Akhaaaaaaaaaaaaa! Ukizeeka ndoa is a plus manake umzeeke nani sasa kama sio huby dearest? Lol!

Kuna wengine fate zao zilikuwa kind, mdogo ushaenda sehemu kibao, umemaliza yote hata ukipumzika si haba! Ila wenzangu na mie usipojikukurusha usuburie fate utasubiri sanaaaaa!
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Karucee]#Karucee [/URL] , I have been watching u close in your posts and comments, I adore u more than I was adoring #LARA1 (no offense intended)

A. KARUCEE
B. LARA1
C. .........?????

Back to the topic, This issue sounds too feminine, Let me sit-back and just read...lol!!!!!

But Partially, I would agree with [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Karucee]#Karucee [/URL] ... Women substance are very rare to find at the present..
well said
cc Karucee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom