jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,633
- 11,949
Umenifumbua macho, sinunui tena simu zinazouzwa na makampuni ya mitandaoHaujapigwa mkuu simu iko poa na bei ni sawa, mambo mengine inategemea na mtu binafsi, kwa mfano mimi sipendi simu zenye fingerprint nyuma, pia sipendi simu zinazouzwa na makampuni ya mitandao km tigo, voda n.k
Mengineyo ni umakini wako tu ila generally simu siyo mbaya kwa bei hiyo.
Kuhusu ofa ya Tigo mpango kwamba ukininua simu kwenye maduka Yao utapata GB Kwa mwaka mzima. Naona kuna Ka chenga Fulani hivi. Mimi nimeipata mara moja Tu tangu ninunue simu na maelekezo nafuata.Cover zitaanza kuingia muda si mrefu.. View attachment 2284767
Umeeka vocha ya 2000? Maana nasikia wamebadili terms.Kuhusu ofa ya Tigo mpango kwamba ukininua simu kwenye maduka Yao utapata GB Kwa mwaka mzima. Naona kuna Ka chenga Fulani hivi. Mimi nimeipata mara moja Tu tangu ninunue simu na maelekezo nafuata.
mkuu vp kuhusu picha/camera ipo vzr?Wakuu thanks kwa mawazo
Nimenunua hii simu yenye ROM 128
simu ipo vema nimepewa na ofa ya gb5.5 toka tigo kila mwez kwa mwaka mzima
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Duh asee umepata wapi mzeeCover zitaanza kuingia muda si mrefu.. View attachment 2284767
Hii nilichukua online.. Kama upo Dar wacheck hawa jamaaa wanazooDuh asee umepata wapi mzee
Mbona picha ya kawaida sana hii? Ndo mp 50 kweli?Watafute hawa p connect wapo China plaza flour Xiaomi wenyewe hakuna cha tigo wala Voda
Hizi ni Moja ya simu ambazo mid range flagship yaan Kwa mnaopenda Kamera konki Kwa low budget basi chaguo lenu ni hili
Bei inaanzia 420K Ila bei yake ni 350 sijui mmeelwa hapo
Moja ya picha zake hapo Chini [emoji991]View attachment 2370944
Hio 50mp ni lowend camera, ipo simu zote za bei rahisi. Angalau ukitumia gcam quality inaongezeka kidogo.Mbona picha ya kawaida sana hii? Ndo mp 50 kweli?
Imepitwa na 13mp ya redmi 9, hawa wachina kwenye makaratasi wako vizuri ila kwenye uhalisia bado sanaHio 50mp ni lowend camera, ipo simu zote za bei rahisi. Angalau ukitumia gcam quality inaongezeka kidogo.