kwan zinazouzwa na makampuni zina tatizo mkuu?Hao ni Tigo ama kina nani wanauza hizo bei?
Specs wise huwezi pata simu nzuri zaidi kwa hio budget ikiwa mpya.
Nataka Tu connection mkuu, za Tigo ni zipo vizuri tu.kwan zinazouzwa na makampuni zina tatizo mkuu?
Ina ngapi?Wakuu thanks kwa mawazo
Nimenunua hii simu yenye ROM 128
simu ipo vema nimepewa na ofa ya gb5.5 toka tigo kila mwez kwa mwaka mzima
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
I mean bei
Sawa na kwa mchina.
Hapana unatumia line yeyoteSawa na kwa mchina.
Ina ulazima wa kutumia laini ya tigo?
HahaahhJitu Zima unaenda kununua simu milion mbili
Cover zitaanza kuingia muda si mrefu..Ni simu nzuri Sana. Tatizo cover yake mtaani ni changamoto kuzipata lakini Kwa ujumla ni simu nzuri Sana, pengine unawezakuta dukani zimeisha