Au zuia matumizi bila bundle, uwe unaunga kifurushi Cha mwezi, vocha ibaki pale pale, unaweza tumia hata miezi kumi Hio vocha, kitu ni kilekile, labda kama una shida na io pesa kwa sasa
Tafuta wale wanauza Vocha Rusha, wauzie. Hapo Utapata hasara ya walau 50k tu, kwa 300k unaweza kuwauzia 250k na zaidi. Wala usiogope, inategemea na upo wapi! Nimewahi kosea kununua badala ya 4k nikanunua 40k ilikua voda, nikawauzia wale wa Voda Rusha wakanipa 35k. So usiogope.