Kununua umeme kwa M-Pesa

nummy

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
587
166
Nimenunua umeme kwa Mpesa sikupata Unit mpaka leo, ni zaidi ya wiki sasa nafatilia jibu ninalopewa ni kuwa helayako ilirudishwa kwenye akaunti lakinin sio kweli kuweni macho
 
Nimenunua umeme kwa Mpesa sikupata Unit mpaka leo, ni zaidi ya wiki sasa nafatilia jibu ninalopewa ni kuwa helayako ilirudishwa kwenye akaunti lakinin sio kweli kuweni macho
mie pia ni mjanga wa hili jambo, jana nimenunua umeme tangu saa kumi jioni lakini mpaka sasa sijapata feedback. hawa voda naona sasa wamezidiwa na electronic services zao.
 
Back
Top Bottom