Kununua suzuki kei

Kununua suzuki kei

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Morning JF. Nataka kununua hii suzuki kei kupitia beforward naomba ambaye ana hii gari anipe matatizo yake na upatikanaji wa spare. Mafuta ina cc650 km98000mwaka 2001 cif 1985 $ hapo kuna uchakavu maana imezid miaka minane. Nipeni ushauri uwezo wangu nina m7 pia ni mkulima... NAWAKILISHA
 
Hilo jina KEI huku kwetu uswazi lina maana nyingine...

Kariakoo kuna dealers wa Suzuki kibao na spea zote zipo
 
Back
Top Bottom