mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,511
hapana uzuri wa hizi Aseries ni simu zinazokuja zikiwa mpya,maana ni za bei ndogo.kama tecno na infinix.Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?
hiyo inakuja wewe ndio unaibikiri.ila nikikwambia utapata s9 plus mpya nakudanganya.
maana hizo ni simu za bei ghali,huwa zinauzwa kwa kutolengwa soko la huku,hivyo ikija inakuja ikiwa iliishauzwa ikarudishwa kiwandani kwa matatizo,ikarekebishwa,ikashushwa bei na kufungwa upywa kisha kuletwa huku.
ndio maana nyingi utazikuta uchi na film juu pale basi,ila ukitaka s9plus 0km nenda kwa dealer wa samsung utaikuta,ila usishangae ukakita inauzwa 1.5 mpaka leo,wakati kkoo inauzwa laki 8.