Kununua simu duka la jumla

Kununua simu duka la jumla

lewis mtunze

Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
42
Reaction score
26
Wadau naomba kuuliza; kununua simu kwenye maduka ya jumla kuna hasara yoyote ikitokea ina tatizo? Maana ukinunua duka la rejareja leo ukirudisha unaambiwa itengenezwe upewe kwanini usipewe mpya, kuna haja gani kununua kwenye maduka ya rejareja yaani unalidwa na nini? Lakini pia naomba kuuliza zile protector za kumimina nini faida yake na hasara natanguliza shukrani kwenu wadau.
 
duka la jumla una maana gani ndugu!!!

maana simu za jumla zinakuwa na ajent nje ya nchi sio kkoo hapo au posta,kila simu inawekwa stiker maalumu ile stiker haitakiwi ichanwe,ndio seal ya kupokelewa na ajent wako ukimtumia report ya ubovu.
 
Nimemaanisha kwamba maduka ya jumla ya kariakoo ndugu
 
duka la jumla una maana gani ndugu!!!

maana simu za jumla zinakuwa na ajent nje ya nchi sio kkoo hapo au posta,kila simu inawekwa stiker maalumu ile stiker haitakiwi ichanwe,ndio seal ya kupokelewa na ajent wako ukimtumia report ya ubovu.
Stiker au warant card? Alafu kwan kariakoo hakuna maajent au inakuaje apo?
 
hapana sio warant card,zile stiker zinasimama kati hapo sababu mnaaminiana na agent wako wa nje.

warant card si analewa mteja wa moja moja??
ambapo akirudisha ndio simu inatengenezwa.
 
Ok kwa maduka ya kariakoo nikichukua simu 1 kwamfano duka la jumla sijaziwi warant card? Maana kuna wengine nimeona wananunua hata 1pc kwa jumla sjajua utaratibu na hasara
 
Ki msingi unapigwa tuu.

Maana hakuna bei elekezi na ww bei hujui, unatajiwa bei na unaambiwa ni bei ya jumla. By the way Bei ya jumla ya simu kko na ya rejareja imepishana kati ya Elfu 8 hadi 10 sijui unakwepa nn

Unataka simu gani?
 
mkuu ukiona hivyo basi ujue anajuana na muuzaji.

najua target yako ni uwezekano wa kurudisha simu ikapotekelewa na muuzaji kama itakuwa na shida,iko hivii,hilo ni swal gumu maana simu nyingi ni refurbished hazitoki kwa dealers wenye leseni za kampuni husika,sio simu mpya kabisa.hivyo ukirudhisha ataipokea kuirekebisha,sio kukupa nyingine.

kama unataka hivyo nunua simu kwa dealer,kitu ambacho kitakufanya usahau mambo ya kuuziwa kwa bei ya jumla.maana huko bei ni ua 0km.
 
Nimefanya uchunguzi gap ni kubwa mno kati ya 50 nzima ndo mana nauliza kama kuna hasara
 
Ni sumu gani hiyo In gape kubwa hivyo?? sema ni simu gani tukusaidie kuchambua. maana simu zina masoko tofauti kutokana na Brand Model na mwaka uliotngenezwa
 
Kama unachotafuta ni warrant ya kuweza kurudisha simu ikiwa na tatizo basi achana na kuhangaikia maduka ya jumla.

Do this:

Kama unataka tecno nenda ofisi za wakala wa tecno, kama unataka samsung nenda ofisi za wakala wa samsung. Kama unataka iphone nenda ofisi za wakala wa apple.

Unajua ipo hivi warrant na unafuu havikai sehemu moja. Ukitaka ya bei chee ujue kureplace ngumu sana. Ukiuziwa bei ya wakala wa kampuni ya simu ina include extra costs za warrant.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
mkuu ukiona hivyo basi ujue anajuana na muuzaji.

najua target yako ni uwezekano wa kurudisha simu ikapotekelewa na muuzaji kama itakuwa na shida,iko hivii,hilo ni swal gumu maana simu nyingi ni refurbished hazitoki kwa dealers wenye leseni za kampuni husika,sio simu mpya kabisa.hivyo ukirudhisha ataipokea kuirekebisha,sio kukupa nyingine.

kama unataka hivyo nunua simu kwa dealer,kitu ambacho kitakufanya usahau mambo ya kuuziwa kwa bei ya jumla.maana huko bei ni ua 0km.
Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?
 
Kama unachotafuta ni warrant ya kuweza kurudisha simu ikiwa na tatizo basi achana na kuhangaikia maduka ya jumla.

Do this:

Kama unataka tecno nenda ofisi za wakala wa tecno, kama unataka samsung nenda ofisi za wakala wa samsung. Kama unataka iphone nenda ofisi za wakala wa apple.

Unajua ipo hivi warrant na unafuu havikai sehemu moja. Ukitaka ya bei chee ujue kureplace ngumu sana. Ukiuziwa bei ya wakala wa kampuni ya simu ina include extra costs za warrant.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Oky apo nimekuelewa
 
Back
Top Bottom