Itategemea ameamkaje,Mkuu kawekeze kwenye government bond, haziongopi zile
Kwa Tanzania ni Bora Bora ukaweka izo pesa kwy Fixed account tuuu, izi Shares, Bond and Treasury Bills bado Kwa Tanzania hazina uelekeo muhimuWakuu nina pesa kama millioni 100 kwasasa sina mpango nayo kuifanyia chochote hadi baada ya miaka miwili
Naomba ushauri wenu kati ya kununua share na baada ya miaka miwili nije niziuze au niweke fixed acc niwe napata gawio kila mwezi?
Pili je ni bank gani wanatoa rate nzuri fixed acc? Na je Hisa si zinaweza kishuka ikawa hasara? Na mgawo wa faida ya hisa ni kila baada ya muda gani?
Sihitaji ushauri wa biashara yoyote baada ya masahibu nisije nikapoteza hela yote bure, nahitaji miaka 2 nitulie
Naombeni mwanga kabla sijaenda kwa wahusika
Kanunue government bonds,Tatizo kubwa hapa ni magufuli siku akiamka vibaya anaweza chukua zote akapeleka anapopajia yeye.
Nunua hatifungani za serikali, hazina mambo mengi, riba kubwa.Wakuu nina pesa kama millioni 100 kwasasa sina mpango nayo kuifanyia chochote hadi baada ya miaka miwili
Naomba ushauri wenu kati ya kununua share na baada ya miaka miwili nije niziuze au niweke fixed acc niwe napata gawio kila mwezi?
Pili je ni bank gani wanatoa rate nzuri fixed acc? Na je Hisa si zinaweza kishuka ikawa hasara? Na mgawo wa faida ya hisa ni kila baada ya muda gani?
Sihitaji ushauri wa biashara yoyote baada ya masahibu nisije nikapoteza hela yote bure, nahitaji miaka 2 nitulie
Naombeni mwanga kabla sijaenda kwa wahusika
Tafuta utaratibu wa Bond-certificate ununue hio.Wakuu nina pesa kama millioni 100 kwasasa sina mpango nayo kuifanyia chochote hadi baada ya miaka miwili
Naomba ushauri wenu kati ya kununua share na baada ya miaka miwili nije niziuze au niweke fixed acc niwe napata gawio kila mwezi?
Pili je ni bank gani wanatoa rate nzuri fixed acc? Na je Hisa si zinaweza kishuka ikawa hasara? Na mgawo wa faida ya hisa ni kila baada ya muda gani?
Sihitaji ushauri wa biashara yoyote baada ya masahibu nisije nikapoteza hela yote bure, nahitaji miaka 2 nitulie
Naombeni mwanga kabla sijaenda kwa wahusika
Miaka miwili iliisha Julai 19 2022, tupe za juu juu ulifanya nini, tujifunze na sisiWakuu nina pesa kama millioni 100 kwasasa sina mpango nayo kuifanyia chochote hadi baada ya miaka miwili
Naomba ushauri wenu kati ya kununua share na baada ya miaka miwili nije niziuze au niweke fixed acc niwe napata gawio kila mwezi?
Pili je ni bank gani wanatoa rate nzuri fixed acc? Na je Hisa si zinaweza kishuka ikawa hasara? Na mgawo wa faida ya hisa ni kila baada ya muda gani?
Sihitaji ushauri wa biashara yoyote baada ya masahibu nisije nikapoteza hela yote bure, nahitaji miaka 2 nitulie
Naombeni mwanga kabla sijaenda kwa wahusika
Itategemea ameamkaje,
Na huna la kumfanya Wala hutoweza kufungua Kesi popote kudai chako.
Maana kwa mswada mpya,
hairuhusiwi kwa mwananchi wa kawaida kuifungulia mashtaka serikali yako isipokua mamlaka hayo kapewa MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI.
Jiulize Sasa,
inawezekana vipi MWANASHERIA mkuu wa serikali asimame upande WAKO kuishitaki serikali inayomlipa yeye mshahara?
Kwa kifupi, HAIWEZEKANI.
Binafsi naona
Kuwekeza huko kwa hali ya Sasa nako Ni Kama kucheza tu KAMARI.