Kununua nyama machinjioni

Kununua nyama machinjioni

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Habari wakuu narudi tena kwenu. Nipo kwenye process ya kuanzia catering services. Nilikua naomba mwenye ujuzi anisaidie nataka kuwa nanunua nyama kwa bei rahisi machinjioni hivyo naomba kujua vifuatavyo:

1. Kuna machinjio ambavyo ipo karibu na Mbagala?
2. Muda wa kwenda machinjioni ni saa ngapi?
3. Minimum kgs ukienda machinjioni ni kiasi gani?
4. Kila mtu anaweza kuingia machinjioni kununua nyama au mpaka uwe na kibali maalum?

Naomba mnisaidie wakuu
 
Mkuu ulifanikiwa kupata mchinjaji utakua umefanikiwa. Kama machinjio ya Mombasa/G/Mboto ili uweze kuingia kule wanakochinjia ambako ndio bei bwerere lazima uwe na overcoat nyeupe na gumboot hicho ndio kibali chako cha kuingia ndani. Nadhani hata machinjio mengine pia ni hivo
 
Nilienda hapo vingunguti machinjioni nikapokelewa na hao waliovaa koti nyeupe wakaniuzia bei juu kweli kweli 5500 kwa kilo ambapo haitofautiani sana na butcher za kawaida.
 
Habari wakuu narudi tena kwenu. Nipo kwenye process ya kuanzia catering services. Nilikua naomba mwenye ujuzi anisaidie nataka kuwa nanunua nyama kwa bei rahisi machinjioni hivyo naomba kujua vifuatavyo:

1. Kuna machinjio ambavyo ipo karibu na mbagala?
2. Muda wa kwenda machinjioni ni saa ngapi?
3. Minimum kgs ukienda machinjioni ni kiasi gani?
4. Kila mtu anaweza kuingia machinjioni kununua nyama au mpaka uwe na kibali maalum?

Naomba mnisaidie wakuu
Mbagala machinjio yapo pale Sabasaba kwa mpili kama unatokea zakiem ni upnde wa wa kulia Na kama unatokea mtongani ni upande wa kushoto njia ya kuelkea Mbagala kuu ukiulizia machinjio utaelekezwa
Kuhusu muda Mara nyingi huwa ni kuanzia saa 9 usiku mpaka 11 alfajiri
 
Back
Top Bottom