Sahau hiyo kitu. Kwanza usidanganyike, JF members hawafiki hata elfu kumi. Kwa hesabu za haraka tu kila member ana ID zaidi ya tano na kuendelea. Tafakari fanya utafiti.
Sahau hiyo kitu. Kwanza usidanganyike, JF members hawafiki hata elfu kumi. Kwa hesabu za haraka tu kila member ana ID zaidi ya tano na kuendelea. Tafakari fanya utafiti.
Kwani kutokuwa premium member ndio unafiki?Nimeangalia profile yako wewe C.T.U unaonekana ni mnafiki,kwanza wewe hauna nia njema na JF kama ulivyoeleza hapa wewe hata sh 10 ujachangia JF ndio maana sio Premium member,pili hilo wazo lako unataka JF iingie mikononi mwa mafisadi hili ife,wazo lako ni mgando kama unataka kuipaisha JF changia bwana hatutaki porojo! HPP
Hapana mkuu ni kuwa yale yale yaliyoanzishwa na moderators yataendelezwa ila kutakuwa na ideas tu ambazo zitalenga kwa ajili ya kuingiza profit zaidiC.T.U,
JF inachangamoto ya kuweza kujibadili na kujiendesha kibiashara bila ku compromise thana nzima ya "Where we dare to talk openly". Sasa tukiingiza elemet ya biashara ya kuuza shares, watu watakimbia hapa.
Hapana mkuu ni kuwa yale yale yaliyoanzishwa na moderators yataendelezwa ila kutakuwa na ideas tu ambazo zitalenga kwa ajili ya kuingiza profit zaidi
Ndio tuanze sasa kuongelea hizo ideas gani za kuingiza profit.
Na haya ndio tunaotaka kutoka kwa great thinkersmkuu Mike mimi natoa ahadi ya kuwa balozi wa JF, nitatumia uwezo wangu kuwashawishi sponsors waje hapa JF kutangaza biashara zao
mkuu Mike tuliomba kuwa na subjukwaa la ujasiliamali siku nyingi sana pasipo na mafanikio baadhi ya madai tulijadili kwenye link hapo chini (naomba uyasome) naamini kwako hakuna linaloshindikana.
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/233530-zifanyeni-kuwa-sticky.html
https://www.jamiiforums.com/complai...ali-ndani-ya-business-and-economic-forum.html
Turudi kwenye mada jinsi ya kuingiza profit JF: Mkuu Mike JF itaingiza faida kubwa kwa kuongeza hadhi ya forum yenyewe i.e taarifa muhimu zitakazopatikana humu mfano taaarifa za jinsi ya kujiajiri, kilimo, mifugo, unanzashaji wa biashara etc taarifa za namna hii zitawavuta watu wengi na sponsors... ambao wengi wao huwa hawataki kujihusisha na mambo ya siasa.
Wale watakaotaka JF ifungwe kutokana na uchochezi, majukwaa haya yenye kuisaidia jamii yatatumika kuilinda JF.
Tafadhari pitia hizo links utusaidie kupata kajukwaa ka ujasiliamali maana kuna nondo zimewatajirisha watu kupitia JF business forum
mkuu Mike mimi natoa ahadi ya kuwa balozi wa JF, nitatumia uwezo wangu kuwashawishi sponsors waje hapa JF kutangaza biashara zao
Hapana mkuu ni kuwa yale yale yaliyoanzishwa na moderators yataendelezwa ila kutakuwa na ideas tu ambazo zitalenga kwa ajili ya kuingiza profit zaidi