toa mawasiliano yako tukupigie kwa sababu hata mimi na carina Ti nilichukua ya mkop hyo pesa uliyonayo nyingi utafanikiwa pale uero camission agent na kama utahitaji nikupeleke ndipo utafanikiwa haraka kwa sababu boc wao ni rafiki yangu, alafu jamaa asumbui hata ukiwa umekwama kulipa na mwenzio nimeshamaliza kulipa nataka kumchukulia mama watoto wangu ingine safi sana weka mawasiliano tukupigie

nirahisi zaidi kwa mimi kuku contact wewe.
au nipe contacts za huyo agent (euro...), naweza kwenda binafsi
shukrani!
Panahitajika uwazi zaidi wakuu... kuwasiliana kwa email huwanufaisha wawili tuu lkn unapoweka mambo jamvini unawasaidia wengi. Mkubwa CHOMETE hebu twambia wazi kwa sababu wewe ulishakopa tayari:
(1) Masharti gani yanahitajika kwa mkopaji?
(2) Je panakuwa na interest katika malipo unayoyamalizia baada ya kutoa down-payment? kama interest ipo ni % ngapi?
(3) Dhamana ya mkopo ni nini? Au ndo hivyo unapaswa kwenda na mtu anayefahamika hapo Euro?
Asante!
mkuu funguka watu wengi zaidi wafaidikeni email kwa pressdown@hotmail.com tutaonana alafu nitakupeleka
well said
chomotee mimi nipgie kwa 0718868029 sure nahtaj gari kwa mkopotoa mawasiliano yako tukupigie kwa sababu hata mimi na carina Ti nilichukua ya mkop hyo pesa uliyonayo nyingi utafanikiwa pale uero camission agent na kama utahitaji nikupeleke ndipo utafanikiwa haraka kwa sababu boc wao ni rafiki yangu, alafu jamaa asumbui hata ukiwa umekwama kulipa na mwenzio nimeshamaliza kulipa nataka kumchukulia mama watoto wangu ingine safi sana weka mawasiliano tukupigie