Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Ndugu zangu-mimi ni mfanyakazi wa kampuni moja hapa kanda ya ziwa...nahitaji kununua gari dogo aina ya carina Ti au gari yoyote nzuri yenye gharama ndogo za uendeshaji...iwe mpya bajeti yangu ni million 6 pesa iliyopo mkononi ni million 3 cash...inayobaki nitalipa kwa kila mwezi kwa makubaliano.....Nawasilisha wakuu