Nimenunua gari zaidi ya kumi kwa mfumo wa kawaida tu. Why ufanye kwa utaratibu tofauti na uliozoeleka halafu kwa nn utume advance payment. Utaibiwa ndugu yangu. Kampuni zote kubwa Japan zina ma-agent hapa TZ kwa nn usichague gari ukaenda kwa agent kujiridhishaWana jf nataka kununua gari mnadani natumia kampuni ya real Motors sasa weniambia nifanye bid halafu nitoe advance ya dollar 1500 ambayo itakuwa included kwenye manunuzi kama nikipata gari ninayohitaji sasa ninachouliza kuna mtu yoyote alishafanya manunuzi kwa njia hiyo na usalama ya pesa vp
Nimeshawishika baada ya kuona bei ndogo halafu magari ni mengi sana kampuni zingine unakuta magari kama showroom za bongo tuNimenunua gari zaidi ya kumi kwa mfumo wa kawaida tu. Why ufanye kwa utaratibu tofauti na uliozoeleka halafu kwa nn utume advance payment. Utaibiwa ndugu yangu. Kampuni zote kubwa Japan zina ma-agent hapa TZ kwa nn usichague gari ukaenda kwa agent kujiridhisha
Utaibiwa achana na huo mfumo. Nunua kwa njia unazoelekezwa. Bure ni ghali ndugu yanguNimeshawishika baada ya kuona bei ndogo halafu magari ni mengi sana kampuni zingine unakuta magari kama showroom za bongo tu
Beforward gari zao zimechakaa sana nafuu hawa wanaojiita tradecarviewUtapigwa mpaka uchakae.
Tembelea mtandao wa BeForward, au Car Jucntion.
Hapo unachagua gari ambayo bei iko listed kabisa, unanegotiate, unaenda ofisini kwao hapa Dar, unaelekezwa kila kitu.
Beforward gari zao zimechakaa sana nafuu hawa wanaojiita tradecarview
Lakini nasikia wao wanashikilia pesa mpaka gari likufikie ndo wanafanya malipo kwa muuzaji amaTradecarview siyo kampuni, ni soko au display centre.
Mule unaweza kukutana na makampuni hewa.
Lakini nasikia wao wanashikilia pesa mpaka gari likufikie ndo wanafanya malipo kwa muuzaji ama
Asante sana boss kwa ushauri wakoKwenye business za mitandao inabidi uwe na roho ngumu, nimewahi kufanya business 3 na hao watu.
2 were successful by 100%, ila moja ilienda 57%. Condition niliyopata haikuwa sawa na bei.
Simshauri yeyote kwa sasa ku-trade na Tradecarview, labda kama unakuwa directed kwenye kampuni ambayo ina link hapa Tanzania.
Hawa uliowataja nao wanabei za kiwendawazimu sana!Utapigwa mpaka uchakae.
Tembelea mtandao wa BeForward, au Car Jucntion.
Hapo unachagua gari ambayo bei iko listed kabisa, unanegotiate, unaenda ofisini kwao hapa Dar, unaelekezwa kila kitu.
Labda kuna ambao unawafahamu wana bei nzuri mkuuHawa uliowataja nao wanabei za kiwendawazimu sana!
Asante sana boss kwa ushauri wako
Ndugu usawa huu umakini unahitajika sana pesa zenyewe za kulenga kwa manatiNunua tu ndugu
Hawa uliowataja nao wanabei za kiwendawazimu sana!
Nakuunga mkono,nilinunua kwao hao nilikutana na matatizo kibao yaliyonigharimu 1.shokap za mbele zilikuwa zimekufa 2.Tyrod end zilikuwa zimekufa 3.Mbaya zaidi inspection hawakufanya licha ya kulipa fee na katika docs zao certificate haikuwepo,hii nilimind sana 4. Pia wanatatizo la mawasiliano,unaweza wachek wakukupigia kimya na hawapo cooperative kabisa,unaweza pata vidonda vya tumbo..Walau nareccomend Beforward,toka nimeanza kununua kwao zaidi ya gari 4 sijapata tatizo loloteKwenye business za mitandao inabidi uwe na roho ngumu, nimewahi kufanya business 3 na hao watu.
2 were successful by 100%, ila moja ilienda 57%. Condition niliyopata haikuwa sawa na bei.
Simshauri yeyote kwa sasa ku-trade na Tradecarview, labda kama unakuwa directed kwenye kampuni ambayo ina link hapa Tanzania.
Nakuunga mkono,nilinunua kwao hao nilikutana na matatizo kibao yaliyonigharimu 1.shokap za mbele zilikuwa zimekufa 2.Tyrod end zilikuwa zimekufa 3.Mbaya zaidi inspection hawakufanya licha ya kulipa fee na katika docs zao certificate haikuwepo,hii nilimind sana 4. Pia wanatatizo la mawasiliano,unaweza wachek wakukupigia kimya na hawapo cooperative kabisa,unaweza pata vidonda vya tumbo..Walau nareccomend Beforward,toka nimeanza kununua kwao zaidi ya gari 4 sijapata tatizo lolote
Pia mimi ni shuhuda gari imekuja engine maji yanavuja bolt 3 zinazofunga Kati ya cylinder head na block zimekufa imebidi nibadili block mwezi mmoja baada ya gari kufikaTrue, asante kwa kuweka ufafanuzi zaidi.
Mwenye kuelewa na aelewe.
Tradecarview is as good as scam.