Kununua gari japani mnadani

watown

Platinum Member
Sep 25, 2016
45
27
Wana jf nataka kununua gari mnadani natumia kampuni ya real Motors sasa weniambia nifanye bid halafu nitoe advance ya dollar 1500 ambayo itakuwa included kwenye manunuzi kama nikipata gari ninayohitaji sasa ninachouliza kuna mtu yoyote alishafanya manunuzi kwa njia hiyo na usalama ya pesa vp
 
Nimenunua gari zaidi ya kumi kwa mfumo wa kawaida tu. Why ufanye kwa utaratibu tofauti na uliozoeleka halafu kwa nn utume advance payment. Utaibiwa ndugu yangu. Kampuni zote kubwa Japan zina ma-agent hapa TZ kwa nn usichague gari ukaenda kwa agent kujiridhisha
 
Nimeshawishika baada ya kuona bei ndogo halafu magari ni mengi sana kampuni zingine unakuta magari kama showroom za bongo tu
 
Lakini nasikia wao wanashikilia pesa mpaka gari likufikie ndo wanafanya malipo kwa muuzaji ama

Kwenye business za mitandao inabidi uwe na roho ngumu, nimewahi kufanya business 3 na hao watu.

2 were successful by 100%, ila moja ilienda 57%. Condition niliyopata haikuwa sawa na bei.

Simshauri yeyote kwa sasa ku-trade na Tradecarview, labda kama unakuwa directed kwenye kampuni ambayo ina link hapa Tanzania.
 
Asante sana boss kwa ushauri wako
 
Utapigwa mpaka uchakae.

Tembelea mtandao wa BeForward, au Car Jucntion.

Hapo unachagua gari ambayo bei iko listed kabisa, unanegotiate, unaenda ofisini kwao hapa Dar, unaelekezwa kila kitu.
Hawa uliowataja nao wanabei za kiwendawazimu sana!
 
Kwenye business za mitandao inabidi uwe na roho ngumu, nimewahi kufanya business 3 na hao watu.

2 were successful by 100%, ila moja ilienda 57%. Condition niliyopata haikuwa sawa na bei.

Simshauri yeyote kwa sasa ku-trade na Tradecarview, labda kama unakuwa directed kwenye kampuni ambayo ina link hapa Tanzania.
Nakuunga mkono,nilinunua kwao hao nilikutana na matatizo kibao yaliyonigharimu 1.shokap za mbele zilikuwa zimekufa 2.Tyrod end zilikuwa zimekufa 3.Mbaya zaidi inspection hawakufanya licha ya kulipa fee na katika docs zao certificate haikuwepo,hii nilimind sana 4. Pia wanatatizo la mawasiliano,unaweza wachek wakukupigia kimya na hawapo cooperative kabisa,unaweza pata vidonda vya tumbo..Walau nareccomend Beforward,toka nimeanza kununua kwao zaidi ya gari 4 sijapata tatizo lolote
 
True, asante kwa kuweka ufafanuzi zaidi.

Mwenye kuelewa na aelewe.

Tradecarview is as good as scam.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom