Swali rahisi, halihitaji mambo mengi kwani wanaokupa bando ni steam au Voda,Airtel,tigo,halotel n.k?!.Habari zenu wakuu,
Niende kwenye swali moja kwa moja. Naomba kuuliza wenye uzoefu wa ku-purchase PC games kutoka katika steam account HV ukishafanya mwamala wote ule wa kununua game, inakuwa inajidownload yenyewe na kujiinstall au ukishainunua uwe tena nankifurushi cha kuidownloas na kuinstall?
Shukrani.
Ndio itabidi ui install, sema unatumia software ya simu kila kitu ni automatic uandae tu GB zako.Nina maana baada ya hapo nitakuwa na haja ya kuinstall km inavyotoka ocean of games?
Nilimaanisha software ya steam sio simu.sorry mkuu, hiyo simu naitumia vp ,je sio hukuhuku kwenye pc?
Steam sio nafuu, ni store kubwa ya games hivyo huko unakuta bei halisi.Na hii steam nasikia ni nafuu na ni nzuri sio kama ocean of games unadownload nyingine ukija kuinstall inagoma?
sorry mkuu naomba kuuliza.... Humu kweny hii software kama nadownload naweza ku-pause downloads na kuja kuendelea tena kwa mfano labda kifurushi kikiisha nikajiunga tens na kifurushi? Shukrani....Steam sio nafuu, ni store kubwa ya games hivyo huko unakuta bei halisi.
Sema kuna uchakachuaji wake mtu ambae ameshanunua game anakupa account yake then unacheza game lake sema njia hii inataka ucheze kwa offline mode huwezi cheza online.
Sijawahi kupause. Ila software kama hizo zinakuwa na hizo features.sorry mkuu naomba kuuliza.... Humu kweny hii software kama nadownload naweza ku-pause downloads na kuja kuendelea tena kwa mfano labda kifurushi kikiisha nikajiunga tens na kifurushi? Shukrani....