Kunuka mdomo kumesababisha niachwe na mpenzi, tafadhali nisaidieni

Kama Wewe kaka una Tatizo la kunuka mdomo.Utaachwa sana.
Jamani wakaka wanuka midomo wanakeraaaaaaaaaa
Hapana
Ni bora Mara mia uwe Na mpenzi Mwenye kasoro yoyote ile but Sio mnuka Domo
Domo likianza kunuka kama choo cha stand ya Kibiti
Hapana
Hapana
Hata kama MTU huyo ni Handisamuuu but kasoro ya mdomo utasema umerogwaa
Suluhisho
Kata Ulimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvi,

Huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua.

Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa mpaka pozi.

Nikakumbuka matukio yote nikiwa na wadau nikiongea tu wanaziba pua.

Dah huu mdomo huu mbona naupiga mswaki kila siku au nilikula mavi kipindi niko mtoto?
Nashauri ufanye oil pulling kwa kutumia mafuta ya kupikia ya Nazi.
Asbh unapoamka chukua mafuta weka mdomono Fanya kama unayazungusha na ulimi mdomoni kwa dak 15, hakikisha usimeze, kisha tema pitishia na mswaki Hii ni njia effective sana . halafu kabla hujalala piga mswaki kisha pitishia Maji yenye alkali(baking powder changanya na Maji))

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia dawa ya mswaki sensodyne achana kbs na whitedent bora hata Colgate pia tumia mouth wash Kama hydrogen peroxide, sukutua na unaipeleka mpka kooni kwa kuangalia juu kisha unatema. Fanya hvo asubuhi mchana na jioni. Baada ya Kama wiki mbili utaanza kusikia harufu za wengine wanaonuka maana sasa hv huwez kusikia. Ukifikia hatua hyo unapunguza kdg kutumia mouth wash

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Wewe kaka una Tatizo la kunuka mdomo.Utaachwa sana.
Jamani wakaka wanuka midomo wanakeraaaaaaaaaa
Hapana
Ni bora Mara mia uwe Na mpenzi Mwenye kasoro yoyote ile but Sio mnuka Domo
Domo likianza kunuka kama choo cha stand ya Kibiti
Hapana
Hapana
Hata kama MTU huyo ni Handisamuuu but kasoro ya mdomo utasema umerogwaa
Suluhisho
Kata Ulimi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanangu wa A town inakuaje??
 
Habari wana jamvi huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua.

Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa mpaka pozi nikakumbuka matukio yote nikiwa na wadau nikiongea tu wanaziba pua.

Dah huu mdomo huu mbona naupiga mswaki kila siku.
Nenda kawaone wamasai wanauza Dawa huwa wanazo na ni bei ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvi huyu mwanamke toka nimempata hataki nimpige kiss, denda na hata tukiongea huwa anaziba pua.

Sasa jana tumekosana ndo kanambia domo langu linatoa harufu kama choo, nikaishwa mpaka pozi nikakumbuka matukio yote nikiwa na wadau nikiongea tu wanaziba pua.

Dah huu mdomo huu mbona naupiga mswaki kila siku.
Mkuu km hujapata dawa ya hilo tatizo nicheki PM nikupatie dawa ya hilo tatizo, utamaliza sn pesa lkn hutopata dawa mujarabu, nicheki mm nikusaidie zen ulete mrejesho hapa kwenye huu uzi.
 
Uyo anatatizo tumboni
Mimi hata nikipata demu mzuri kiasi gani!
Kama ananuka mdomo namuacha!
Wewe jamaa hakuna kitu kinachoaibisha kama harufu ya mdomoni!!Safisha kinywa Vizuri mkuu, at least twice a day!
But it is also good to clean your mouth soon after taking any meal!

121.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom