Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunuka kikwapa: Ni ugonjwa au uchafu?

Discussion in 'JF Doctor' started by Pape, Dec 7, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? Kuna dawa?

  Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je inatokana na nini? Na nini kifanyike ili kuzuia hali hiyo?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Duh!
  Mpake deo kabla hujamdinya
   
 3. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Somo la sayansi kimu lilifutwa Tanzania. Sasa kama kwapa tu ni hivyo je sehemu nyingine???.

  Labda utueleze huyo ni nani wako? (mkeo/mmeo). Kama ni wanandoa basi fanya kamchezo ka kuingia wote bafuni kuoga kabla ya kudinyana.

  Kama unavizia waliochoka na kazi za kutumia msuli(kuli, utingo, machinga, mama lishe n.k) basi huenda unamngángánia kabla hajajiweka sawa.

  Mpe nafasi ajisafishe kabla ya kudinyana. unless wewe ni mwizi.


   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahaha eti mwizi hahahaha...
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wakuu, kuna harufi mbili za kikwapa:

  Kuna kikwapa cha jasho na kikwapa cha mahaba; km huyo ananuka kikwapa cha jasho na uvundo basi ni karaha tupu lkn kuna scent fulani huwa inatoka kwenye kwapa wakati wa malavidavi, kwa wakati ule maalum ile scent huwa tamu ajabu, hu stimulate ashki na kuleta hamu kubwa ya kufanya malavidavi. Hii scent kule uingereza wameitengenezea perfume kabisa si unajua wazungu madomo zege so ukijipulizia kinda perfume akiipata ile scent mchuchu anakuwa attracted na wewe hahaa
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwe! Kweli watu wana experience za kutisha
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Ndo utamu wa JF. Kuna diversity ya kutosha;)!
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kwenda zako huko...
  Hakuna kitu kama hicho.
  Hakuna harufu chafu inayoamsha hamasa za mapenzi.
  Huko chini kwenyewe ambako ni kuhusika kukuu kukiwa na harufu basi utatamani game iahirishwe....ndo ije kuwa kwapa?

  Kawadanganye wavivu wenzio wa kuoga.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,740
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Pole sana!
  Wenzio siku hizi wananyonya mpaka vitoa kinyes.i sembuse harufu ya kwapa!! Mapenzi uchafu mkubwa!
   
 10. r

  remyshas Member

  #10
  Dec 8, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasomba nikuambie hivi mwambie awe anasafisha maeneo yake mpka ndani kila akikoga na pia atumie fame wash kwa ajili ya kukata harufu na usafi pia.zipo fame wash za oriflame,na nyingine nyingi tuuuu
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu nadhani wewe hii si fani yako so unahitaji msaada wa elimu juu ya mapenzi
   
 12. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmmh jamani!!!!!!!!!mm ninjonjeni tu lakini kumnjonya mtu!Aku nani anaetaka kula mavi na kuachiwa mashuzi?
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hahaha mwambie huyo jamaa inaelekea hajui lolote kwenye sekta hii, hawa ndo wanao megewa hawa
   
 14. GP

  GP JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahaaaaaaa, atajuaje na yeye signature yake inaonyesha muda wote yuko sisiemu!.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,740
  Trophy Points: 280
  nimekujibu mpwa! Kaangalie. Watu wengine bana! Eti wanaogopa harufu ya kikwapa wakati wenzao hata harufu ya ushuz.i mzito kwao burudani!
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,740
  Trophy Points: 280
  Subiri walume wakumegee afu uje hapa jamvini kuomba ushauri! Kalaghabaho!
   
 17. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #17
  Dec 8, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole journal!! kutoa harufu ya kikwapa huwa haina sababu maalum, inawezekana ikawa ni maumbile au ufanyaji wa kazi za kutumia nguvu na nk. Dawa yake niijuayo mimi ni deodorant!! but also kuna vitu kama sabuni ya omo. Huyo anaetoa harufu awe anaosha kikwapa chake na omo kila mara anapopata nafasi. Au anaweza akapaka ndimu katika kikwapa huwa inakata harufu. Apake mara kwa mara anapopata muda, ataona matokeo yake.
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Du! Huo utafiti ulifanywa na dr. gani? nipeni jina lake nimfute kazi. Unamshauri mwenzio apate cancer siyo?
   
 19. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani hii harufu naipenda sana kuisikilizia, huwa sipendi kabisa kuona shemeji yenu anatumia deodrant, na mara nyingine huwa nazificha ili nipate kusikia hii harufu, sometime akilala huwa naweka pua yangu kwapani kwake nisikie vizuri harufu hii,nimekuwa kama teja.Hivi hii kitu kuna wengine wenye kupenda???
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  huyo shemeji/wifi huwa analala bila kuoga?
   
Loading...