Kuniona wa Hadhi ya Juu

Usifikiri kila mtu ni mtoto km wewe
 
Shida iko wapi unaanza hangaika na maisha ya watu na mtu anaishi yake hakulishi hakuvishi hakuongeleshi hakupendi nenda kwa watu wengine .
MIe nachukiwa na dunia nzima ila wala sijali . Pale kwenye kibarua changu watu wananiona mwizi yaani na hadhi ya kuweza iba vitu vya mtu .

Mwingine ananiona maskini nikamsalimia akaniona jinga sana hili .
Akaninyima ufunguo wa chooni .
Ila sijajali.
Ipo siku nitaheshimika tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ umeanza
Huwa ukijisema kuwa we ni mpole huwa naangalia ID yako halafu nasema "dhambi ya uongo asipoiombea msamaha huyu dada basi itammalizia jehanam!"...πŸ˜…
 
Huo muda huwa mnautoa wapi? Mtu akiwa na pozi au asipokusalimia unapungukiwa nini?
Ni kweli ukimsalimia mara mbili amenyamaza na wewe unapotezea mazima hata mkikutana mlango wa chooni
 
Ni kweli ukimsalimia mara mbili amenyamaza na wewe unapotezea mazima hata mkikutana mlango wa chooni
Hiii nimeilelewa ntapita nayo, maana Hawa Binadamu wa siku hizi Wanajiona keki.
Nakusalimia mara Moja Tu, ujaitikia napitia. Inakua imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…