Kuniona wa Hadhi ya Juu

Kuniona wa Hadhi ya Juu

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Kuna mtu anajiona wa Hadhi ya juu sana.

Hata salamu yake naongea kama unamlazimisha hivi, sauti kama anabana pua zote pozi za kujiona na Hadhi ya juu.

Sasa, Leo Mchana Kuna mpangaji nimeambiwa na Dalali anaingia kwenye kibanda Changu.

Nikamwambia atume tu pesa mkataba nitampitishia nikitoka Mishe mishe zangu.

Nafika pale nakutana na Yule mtu wa mapozi yaani, Nashangaa yule mtu kama pozi limemuisha
Kwa mshangao ananiuliza we ndo mwenye nyumba wangu.

Nikaona Bora ni mjibu" Hapana Mimi ni msimamizi tu, nyumba ya kaka yangu"

Kwa Nyodo na Dharau anazo zalau wenzie yule mtu, sio poa kwa kweli ila napenda sana watu tujifunze kueshimiana na kupendana na kutoa kua na dharau kwa wengine hata kama unamuona hana kitu usimzarau kwa kua wewe unakitu Fulani au una Mali.

Jambo la kujifunza kama mtu atakudharau mwache akudharau aliempa yeye ndo alie tunyima sisi.
 
Usikute ndivyo alivyo, kuna watu si wachangamfu sana kwa watu.
 
We tukioana nyumba itakua pambe sana,full kuchambua wote tulopishana nao mchana toka mahangaikoni
 
Back
Top Bottom